Kuna bajaji ya kuchaji? Mimi nazijua baiskeli au pikipiki za kuchajiJe Bajaj ya kuchaji unahitaji kuisajili Latra ili upige nayo kazi bararrani?
Je unakamatwa na trafk barabarani?
Ipo mkuu https://x.alibaba.com/AwVNZX?ck=pdpKuna bajaji ya kuchaji? Mimi nazijua baiskeli au pikipiki za kuchaji