Bahima empire almost there...!!!

Wewe ni great thinker... Kuwa muungwana na ukubali unapoingia choo cha kike na sio kujaribu kuspin facts..

That's totally low kwa mtu wa kariba yako..
Naomba ucheki approach iliyozaa jibu langu.. Napenda malumbano yenye hoja makini.. Na kwa hili niombe radhi kama nimekukwaza.. Kumbuka kila tunachoandika hapa kinasomwa na wengi hivyo tujitahidi kuwa weledi
 
Mleta Mada alichofanya ni kuleta TAFAKARI ,hivyo tusimshambulie sana ,ingawa kasema yy anayajua mengi ( kwa sie wengine) sasa tujadili tafakari yake
 
Mi namuunga mkono Pierre 70% japo kisiasa sio jambo zuri ila hapo kafanikiwa kuwakomesha watusti ambao wao ndio wanajiona watu kuliko wenzao
 
Naomba ucheki approach iliyozaa jibu langu.. Napenda malumbano yenye hoja makini.. Na kwa hili niombe radhi kama nimekukwaza.. Kumbuka kila tunachoandika hapa kinasomwa na wengi hivyo tujitahidi kuwa weledi
Mkuu wewe ni great thinker.. Kwa status yako ulitakiwa usilete kitu ambacho either hukijui lakini pia ukifanyie research kabla ya kukiweka humu..

Kwa mtu wa status yako haifai kuleta uzi ambao una upotofu wa dhahiri. Then baada ya wachache kukukosoa ukaona uspin ili tu uonekane hujakosea. Mtu wa kwanza kukuuliza Bahima inahusika vipi na wahutu ulimjibu huyo kapandikizwa na watutsi. Wa pili aliuliza hivyo hivyo akajibiwa huyo kaachwa sababu watutsi wamekosa mtu wa mbadala wa kumuweka ila kabanwa kona zote asifurukute..

Kwa majibu hayo ndio tunaona jinsi unavyotumia fix za mtaani tu kutetea uzi wako. Lakini swali langu dogo kwako; kama Watutsi wamempandikiza tu kwa muda wakiendelea kumtafuta mrithi wake na wamembana kila kona, yeye Pierre anawezaje kuspin katiba na kujihalalisha kuwa Rais wa maisha?

Nitafurahi kama utanijibu kwa hoja makini..
 
Naona neno FIX ZA MITAANI ni neno pendwa kwako.. Anyway hiyo isipoteze muktadha wa mada...
Kwanza majibu yangu yote mawili nimewajibu watu wawili tofauti kulingana na kile walichouliza... ni kitu kile kile kwa mitazamo tofauti
Sijui Hapo nini kimekutatiza aliyepandikizwa ni baada ya kukosa mbadala ambao unaweza kufaa kutimiza malengo tarajiwa... Kule haikufanyika biashara ya moja kwa moja kama hii hapa kwetu ya madiwani na wabunge
Pale ni kiongozi wa taifa zima... Haya mambo yanafanyika popote duniani... Jumuiya za siri wnanafanya refer mada ya mafuvu na mifupa... Angalia nini kiliangusha USSR. Pandikizi la Marekani
Inawezekana kabisa hapo mwanzo hawakuwa na mpango naye lakini angalia picha kwa mapana yake.. Kuna wakati una team up na adui kwa kuangalia unapata faida na hasara kiasi gani
 
Jibu hoja za watu mkuu,acha porojo,sio tunguli zako hz
Sasa nani anafanya porojo au ninachojibu hukioni? Kama unaona hatuwezi kuendelea na hoja nishauri tuishie hapa
 
Mtu anashangaa ya Burundi wakati hapa Bongo Chadema wana huu utaratibu kitambo
 
Hahahahaha...

Sawa sawa mkuu..
 
Hivi waliotaka kumpindua mwaka juzi ni wapi??
Mainstream media zilitumika kuwa aminisha watu kuwa alitaka kupinduliwa n.k ingawa ukweli na uhalisia haukuwa hivyo ,pia upande wa pili, mahasimu wao lazima wa ifanye Burundi isiwe na utulivu wa kisiasa ili wao waweze kupiga hatua mbele.

Kwa siasa za kwetu, ili uweze kulala usingizi mzuri au upige hatua mbele , lazima uhakikishe majirani zako wa karibu hawana utulivu wa kisiasa.
Historia ni mwalimu mzuri sana, wakati Tanzania ilikuwa ni kisiwa cha amani kipindi hicho, majirani zetu walikuwa katika wakati mgumu sana ila leo hii mambo ni tofauti kwa upande mwingine
 

Kama nawaona wale wazalendo watukufu wanavyo screen shot wachangiaji wa huu uzi. Mungu tusaidie
 
Sikubaliani na wewe ina maana katika watu wote wa Burundi yeye ndiye mwenye akili pekeyake,kwa nini asipishe mtu mwingine hata kama ni wa kutoka chama au kabila lake?
 
Mahasimu wa Burundi ni wapi?
 

Naye ni mhima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…