Bahima empire almost there...!!!

Mleta mada kapiga fix na hearsay za huku na kule.. Mara asema Pierre kawekwa kama cover, mara aseme Watutsi wamekosa Mtutsi wa kumpandikiza yaani ni full fix fix..

Malcom Lumumba
 
Nafikiri ndio mna shida huyo kawekwa alipo kupoteza lengo...
Kihistoria kamwe mhutu hawezi kuwa mtumwa wa watutsi,nkurunziza anachokifanya ni moja ya njia ya kuwajulisha watutsi kote duniani wasahau kuitawala burundi
 
Kongo iko Afrika Mashariki?
 
Neno sana hili
 
Hahahaaa hii kali chamdeko wangu njoo utaibiwa hukuuuu
Hata akija leo naenda kuwakodi mashoga zangu wa Mbagala na Tandale Kwa Mtogole tunakuja kuwasuta mpaka mpigwe BAN na mods
Tena nakwambia leo nyumbani hapakaliki na chaakula cha usiku sikupi nampa GuDume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…