Evody kamgisha
Member
- Aug 4, 2011
- 82
- 80
Ndiyo vikwazo vinaongezeka snTulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani.Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo.
Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S
Naomba kujua.
Nijaribu kujaza page ya kwanza. Na ckick next page kitu kikakataa. Nadhani jina la nchi lilikua shidaTulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani.Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo.
Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S
Naomba kujua.
Aliyetoa uamuuzi wa kuzuia Tz kushiriki hiyo Bahati nasibu nampongeza,mnataka muende USA mpeleke tabia zenu ka kinafiki umbeya ili mkaharibu kizazi cha wamarekani.Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani.Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo.
Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S
Naomba kujua.
Aliyetoa uamuuzi wa kuzuia Tz kushiriki hiyo Bahati nasibu nampongeza,mnataka muende USA mpeleke tabia zenu ka kinafiki umbeya ili mkaharibu kizazi cha wamarekani
aliefungiwa BASHITE na tim yake wewe kama unanafasi hiyo jaribuTulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.
Naomba kujua.
inji ipiBaki hapa hapa mkuu tuijenge nchi
we nani kakuambia kwenda marekani, bahati nasibu, umeskia wapi!!! nendeni mkatinduliwe marinda.Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.
Naomba kujua.
mimi nimecheza na wamenitumia confirmation letter ya kuangalia matokeo 2021 resultBado hatujafunguliwa
mnachezea wapi izi?mimi nimecheza na wamenitumia confirmation letter ya kuangalia matokeo 2021 result
Marekani haijajengwa na wamarekani wenyewe..wengi ni wahamiaji kama mimi na wewe tulivyahamia DSM tukaijenga.TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE SIO KWA KUKIMBIA BALI KWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA LETU.....