Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

Aug 4, 2011
79
76
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.

Naomba kujua. Screenshot_2020-11-29-19-51-52.png kuna gharama zinazotumika unapokuwa unaaply
Je valid passport inahitajika? Na mwisho je ratiba yake ni mwezi gani na Tanzania kama tumefungiwa kuna njia nyingine mbadala ya kushiriki? Screenshot_2020-11-29-19-51-52.png
 
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani.Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo.
Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S
Naomba kujua.
Nijaribu kujaza page ya kwanza. Na ckick next page kitu kikakataa. Nadhani jina la nchi lilikua shida
 
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani.Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo.
Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S
Naomba kujua.
Aliyetoa uamuuzi wa kuzuia Tz kushiriki hiyo Bahati nasibu nampongeza,mnataka muende USA mpeleke tabia zenu ka kinafiki umbeya ili mkaharibu kizazi cha wamarekani.
 
TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE SIO KWA KUKIMBIA BALI KWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA LETU.....
 
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.

Naomba kujua.
aliefungiwa BASHITE na tim yake wewe kama unanafasi hiyo jaribu
 
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.

Naomba kujua.
we nani kakuambia kwenda marekani, bahati nasibu, umeskia wapi!!! nendeni mkatinduliwe marinda.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom