The Chief Economist
Member
- Jan 18, 2013
- 51
- 47
Kila kukicha unasikia mipango mipya ya maendeleo ya Serikali itatekelezwa au kuanzia Bagamoyo na kumalizikia Katavi. Mfano ni hii ifuatayo:
1. Ujenzi wa chuo kipya cha IFM utafanywa eneo la Kiwangwa (jirani kidogo na shamba la mananasi la JK): IFM (kupitia TBC)
2. Ujenzi wa chuo kipya cha marubani: Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)
3. Uchimbaji na ujenzi wa bandari mpya huku zile za Mtwara, Kilwa, Tanga zikiachwa: TPA
4. Ujenzi wa kituo kikubwa cha kimataifa cha biashara: Phillip Marmo, Balozi wetu China (juzi tu)
5. Ujenzi wa barabara ili mabasi na malori yote ya kwenda kaskazini na nchi jirani yapitie Bagamoyo: TANROADS
6. EPZ and SEZ development zones: EPZ Authority
7. Ujenzi wa airport: TAA
8. Miradi ya TASAF nk inaanzia Bagamoyo km pilot: TASAF
9. Maendeleo ya Katavi yanajulikana ikiwa ni pamoja na ujenzi wa haraka wa airport na hivi karibuni kulazimisha "mwekezaji mzawa" kuomba guarantee ya Serikali ili akope pesa kujengea chuo kikuu kipya Katavi. Lakini Wizara ya Fedha imemkatalia hyo "mwekezaji mzawa" kwa kuzingatia Sheria ya Government Guarantee, Loan and Grants Act of 1974 (amended 2003).
Watu wa Mtwara kudai gesi ilikuwa inaelekezwa Bagamoyo ilikuwa ni ya kweli kwa kuzingatia kwa sasa Bagamoyo ndio "Centre of Gravity" ya uchumi na mipango ya maendeleo TZ? Sitaki kuamini kila rais na PM ataendelea kufanya hivi!!!