Bagamoyo kwalipuka tena - ni CCM vs CHADEMA

poleni sana wenzangu, ila inaonekana viongozi wetu hawakujiandaa kwa uchaguzi au hawahapew mbinu za kutosha za kupambana na mafisadi, haiwezekani washindwe kujiandaa mapema kuishinda ccm, hizi mbinu zao ni za kila cku hizi zinajulikana kila uchaguzi
hizo wanazotumia ccm sio mbinu,hayo ni mauaji
 
Ccm wanapenda kula nyama za watu sijui kwa nini?
 
ccm itatawala milele_nape.
nitahakikisha nakabidhi nchi kwa ccm_jk.
ccm wapo radhi waue ili hayo yatimie
 
Kama taarifa hii ni ya kweli basi ni tukio la kulaaniwa kwa nguvu zote. Yaani hata majina ya wagombea wa CDM yamefichwa!!! Tena watu wanapiga kura mara nne!!!. hebu tuondoleeni aibu hii Tanzania.
 
nataka nisikie mwekiti wa kijiji pale Msoga nyumbani kwa jk ni kutoka chadema na diwani wake chadema,mbuge chadema.it sound very good
Kwa Bagamoyo ninayoijua mimi, kama unataka usikie, then utaendelea kusubiri mpaka!. Labda ungesema CUF labda!. Kipindi cha Chadema kushinda maeneo fulani fulani bado hakijawadia mpaka kwanza Chadema wenyewe wabadilike na kuendana na maeneo husika!. Mwaka 2010 nilihudhuria kampeni za Chadema kugombea ubunge jimbo fulani Zanzibar!, nilichokiona kwenye kampeni hizo, naomba nikihifadhi, ila ukweli ni kuwa kwenye maeneo fulani fulani, Chadema bado!, na Bagamoyo ni miongoni mwa maeneo hayo!.
 
Pamoja na hila, ukatili na unyanyaswaji tunaofanyiwa wanaCHADEMA, hatuta kata tamaa ktk kutafuta ukombozi wa kweli wa taifa hili.
B
ali tutakuwa sugu kwa kutokusikia tena maumivu na ifikapo 2015 ndio utakuwa mwisho wa amani ya nchi hii endapo hali hii itajitokeza ktk uchaguzi huo ujao.
This realy reflects what will happen in 2015, I will be among of those who will be ready to be assasinated for the sake of my country.
 
Chadema itekeni kijiji cha PARAKUYO toka Morogoro njia ya Kilosa, is second to Arusha as most powerful Masai Community, na wana hasira na CCM hasa Pinda pale waliponyang'anywa ng'ombe na CCM kisa wamezidi kiwango na kutumwa Polisi kuwapora na hatimae baadhi ya wazee walijiuwa kwa kufilisiwa na Serikali mwaka 2009. Hao wamasai wakiwakubali ndio shina ya Power of the tribe from Zanzibar to Mbeya via Tanga, Manyara, morogoro, Dodoma, Iringa, Pwani na Daressalaam, naomba nisieleweke kikabila zaidi au kama vipi poa tu, mimi ninaisaidia Chadema tu kama Hope iliobaki, Kumbuka wamasai kwa ndani ni Himaya yao ya kipekee na mikoa niliotaja haihusiani na haiwasiliani na kanda ya kaskazini ambayo tayari ni Chadema damu
 
Pamoja na hila, ukatili na unyanyaswaji tunaofanyiwa wanaCHADEMA, hatuta kata tamaa ktk kutafuta ukombozi wa kweli wa taifa hili.
B
ali tutakuwa sugu kwa kutokusikia tena maumivu na ifikapo 2015 ndio utakuwa mwisho wa amani ya nchi hii endapo hali hii itajitokeza ktk uchaguzi huo ujao.

mkuu unaanza uchochezi?angalia watakuficha,hujui fbi wapo arround.
 
Pamoja na hila, ukatili na unyanyaswaji tunaofanyiwa wanaCHADEMA, hatuta kata tamaa ktk kutafuta ukombozi wa kweli wa taifa hili.
B
ali tutakuwa sugu kwa kutokusikia tena maumivu na ifikapo 2015 ndio utakuwa mwisho wa amani ya nchi hii endapo hali hii itajitokeza ktk uchaguzi huo ujao.
Mkwara wa JF, mtaani kimyaa.
 
Kama taarifa hii ni ya kweli basi ni tukio la kulaaniwa kwa nguvu zote. Yaani hata majina ya wagombea wa CDM yamefichwa!!! Tena watu wanapiga kura mara nne!!!. hebu tuondoleeni aibu hii Tanzania.

Hii si habari ya kuunga unga. Niko kwenye eneo husika mpaka sasa. Hujuma hizi nimeziona kwa macho yangu mwenyewe, ingawa mimi sijadhurika. Majina ya wagombea sioni uzito huu ni uongozi wa kijiji na vitongoji.
 
Dr Slaa inatakiwa utume timu huko ili kwenda kuweka mambo sawa
 
Kama taarifa hii ni ya kweli basi ni tukio la kulaaniwa kwa nguvu zote. Yaani hata majina ya wagombea wa CDM yamefichwa!!! Tena watu wanapiga kura mara nne!!!. hebu tuondoleeni aibu hii Tanzania.

Hii si habari ya kuunga unga. Niko kwenye eneo husika mpaka sasa. Hujuma hizi nimeziona kwa macho yangu mwenyewe, ingawa mimi sijadhurika. Majina ya wagombea sioni uzito huu ni uongozi wa kijiji na vitongoji.
 
chadema kwa fujo hamuogopi mamlaka na kutii sheria bila shuruti wakipewa kipondo utasikia tunaonewa na ccm

Kufukuzwa CDM isiwe mwisho wa kupigania haki mkuu, unajidhalilisha sana...ni vyema harakati ulizokuwa ukizifanya uendelee kuzifanya hata bila ya kuwa na chama
 
Kwa Bagamoyo ninayoijua mimi, kama unataka usikie, then utaendelea kusubiri mpaka!. Labda ungesema CUF labda!. Kipindi cha Chadema kushinda maeneo fulani fulani bado hakijawadia mpaka kwanza Chadema wenyewe wabadilike na kuendana na maeneo husika!. Mwaka 2010 nilihudhuria kampeni za Chadema kugombea ubunge jimbo fulani Zanzibar!, nilichokiona kwenye kampeni hizo, naomba nikihifadhi, ila ukweli ni kuwa kwenye maeneo fulani fulani, Chadema bado!, na Bagamoyo ni miongoni mwa maeneo hayo!.

Pasco, Mimi ni katibu mwenezi wa CHADEMA Bagamoyo. Najua hofu yako ni UDINI. Ni kweli UDINI umepandikizwa saanaa na CCM!!.. Lakini tumefanya kazi saana na sasa mambo ni mazuri. Nakuomba ukija Bagamoyo unitafute.
 
Kwa Bagamoyo ninayoijua mimi, kama unataka usikie, then utaendelea kusubiri mpaka!. Labda ungesema CUF labda!. Kipindi cha Chadema kushinda maeneo fulani fulani bado hakijawadia mpaka kwanza Chadema wenyewe wabadilike na kuendana na maeneo husika!. Mwaka 2010 nilihudhuria kampeni za Chadema kugombea ubunge jimbo fulani Zanzibar!, nilichokiona kwenye kampeni hizo, naomba nikihifadhi, ila ukweli ni kuwa kwenye maeneo fulani fulani, Chadema bado!, na Bagamoyo ni miongoni mwa maeneo hayo!.

Like a father like a son(kama Pasco kama Lowasa), kama Lowasa ambavyo kashindwa kusoma alama za nyakati kwamba janja yake makanisani tumeinyaka......ndivyo ambavyo kijana wake kashindwa kung'amua kuwa watu M4C ina-change watu kila sekunde......

Unaacha kushangaa CDM kushika hatamu Mtwara, Unashangaa CDM kushika hatamu Bagamoyo karibu kabisa na town!!!Vilevile ni ujinga kutumia 2010 kama reference, acheni kukariri vijana
 
Chadema itekeni kijiji cha PARAKUYO toka Morogoro njia ya Kilosa, is second to Arusha as most powerful Masai Community, na wana hasira na CCM hasa Pinda pale waliponyang'anywa ng'ombe na CCM kisa wamezidi kiwango na kutumwa Polisi kuwapora na hatimae baadhi ya wazee walijiuwa kwa kufilisiwa na Serikali mwaka 2009. Hao wamasai wakiwakubali ndio shina ya Power of the tribe from Zanzibar to Mbeya via Tanga, Manyara, morogoro, Dodoma, Iringa, Pwani na Daressalaam, naomba nisieleweke kikabila zaidi au kama vipi poa tu, mimi ninaisaidia Chadema tu kama Hope iliobaki, Kumbuka wamasai kwa ndani ni Himaya yao ya kipekee na mikoa niliotaja haihusiani na haiwasiliani na kanda ya kaskazini ambayo tayari ni Chadema damu

Pasco acha kuzungumzia mambo ya 2010 na historia. Unachotakiwa kuuliza kama stori hii ni ya ukweli au kutunga. CCM ya 2010 siyo ya leo ni mambo mengi sana yamekwenda kombo na wananchi tayari wameshaamua mabadiliko hivyo ni ngumu kuyakabili.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na hila, ukatili na unyanyaswaji tunaofanyiwa wanaCHADEMA, hatuta kata tamaa ktk kutafuta ukombozi wa kweli wa taifa hili.
B
ali tutakuwa sugu kwa kutokusikia tena maumivu na ifikapo 2015 ndio utakuwa mwisho wa amani ya nchi hii endapo hali hii itajitokeza ktk uchaguzi huo ujao.

safiiiii......na siku mtanzania akiijua haki yake atapigana kuliko vita ya rwanda na burundi.....ngoja tuone na umeme wetu wamechukua watanzania ni wakati wa kuamka sasa....!
 
chadema kwa fujo hamuogopi mamlaka na kutii sheria bila shuruti wakipewa kipondo utasikia tunaonewa na ccm

Usiwe na wasiwasi. Tunatengeneza Documentary ya yaliyokea Bagamoyo pamoja na sehemu zote vurugu zimetokea kwa sababu maalumu. Mwisho wa siku mtajua
 
Back
Top Bottom