Bagamoyo kwalipuka tena - ni CCM vs CHADEMA

Bagamoyo kwalipuka tena - ni CCM vs CHADEMA

Like a father like a son(kama Pasco kama Lowasa), kama Lowasa ambavyo kashindwa kusoma alama za nyakati kwamba janja yake makanisani tumeinyaka......ndivyo ambavyo kijana wake kashindwa kung'amua kuwa watu M4C ina-change watu kila sekunde......

Unaacha kushangaa CDM kushika hatamu Mtwara, Unashangaa CDM kushika hatamu Bagamoyo karibu kabisa na town!!!Vilevile ni ujinga kutumia 2010 kama reference, acheni kukariri vijana

Lowassa ataicheleweshea Chadema kuchukua nchi
 
Hali bado si shwari!.. Uchaguzi umefanyika. Kura zinahesabiwa kwa tochi. Ubabe unatumika kufukuza wanachadema vituoni. Kwa ufupi hali si shwari ila ccm wako salama!...
 
yaliyotokea Kenya mwaka 2007 yatatokea Tanzania mwaka 2015
kama JK alivokuwa msuluhisi Kenya ndivo Raila au Kenyatta atakavo kuja kusulihisha Tanzania.
CCM wanadhani wao wana hati miliki na uongozi wa TZ ndivo watakavoangushwa 2015
kwa vile JK alisema hatakabidhi nchi kwa chama kingine zaidi ya CCM tutegemee madhara makubwa
 
mimi nilivyo huwa namuomba Mungu atayesababisha vurugu kwenye uchaguzi wa 2015 auawe yeye mwenyewe, mfano kama atakuwa ni mgombea uraisi ccm lazima yeye auawe hata kwa bomu ili kulinda masilahi ya wananchi na sio familia yake. Hali itawafanya viongozi wanaotumia mali zao ili kumwaga damu za watu wasio na hatia. Huwa inaniuma sana wananchi tunakufa yeye anbaki hai. hakuna kitu kama hicho, LIWALO NA LIWE 2015
 
Hatuna namna ya kuwaletea vielelezo!.. Mpaka muda huu hali si nzuri. Wanachadema wanasakwa na wana-ccm zaidi ya 60 walioletwa na wasaidizi wa bolizozo!.. Tutaweza kuthibitisha!
 
Hatuna namna ya kuwaletea vielelezo!.. Mpaka muda huu hali si nzuri. Wanachadema wanasakwa na wana-ccm zaidi ya 60 walioletwa na wasaidizi wa bolizozo!.. Tutaweza kuthibitisha!
tujuze mkuu kwa lolote linalojili. ikiwezekana tupange safari kuwasaidia wenzetu
 
Ni dhahiri kabisa ya kwamba sasa mafisadi wana nia mbaya na Nchi yetu kama walivyokwisha kuonyesha kila mahala ndani ya Nchi yetu
Mkubwa fuatilia kwa makini kwani hawa jamaa dawa yao ni Nguvu ya Umma tu!
Kwanini wasije na mipango hiyo huku kanda ya kaskazini jamani?
Natamani 2015 iwe kesho!

ccm ccm yenu ngumu!
 
tujuze mkuu kwa lolote linalojili. Ikiwezekana tupange safari kuwasaidia wenzetu

ndiyo mkuu, hawa jamaa wameamua kucheza na polisi. Ocd hayupo ili sisi tuelekeze nguvu polisi kumtoa mwenzetu na wao wachakachue. Hivi sasa kuna vijana 60 wanaosaka na kupiga yeyote anayeipigania chadema. Tuna watu kidomole mpaka sasa na wengine polisi.
 
Its too much, mkurugenzi wa ulinzi na usalama Lwakatare uko wapi? Hebu nenda kafanye kazi huko.

mimi naona kikosi cha red bridged apewe ben saanane na iwe jino kwa jino hatuwezi kuendelea kuonewa halafu tuna wachekea wameua viongozi wetu sana wameua mawakala wetu pia wameumiza watu wetu sana tuna wachekea..katika chaguzi zinazo kuja tujipan zaid ya namna tulivyojipanga uchaguzi mdogo wa Arumeru mashariki..
 
kitego cha usalama chadema hovyo kabisa..ccm nijuavyo mimi imejaa vizee vijana wengi wako chadema labda watoto wa nabalozi wa nyumba kumi kumi kwanini tusi watumia hazina kubwa tuliyo nayo tumebaki kulia lia tu..Mbowe alisema Arumeru watalalamika wao na kweli wali lalamika wao kwanini tusi fanye hivyo chaguzi zote..
 
Hatuna namna ya kuwaletea vielelezo!.. Mpaka muda huu hali si nzuri. Wanachadema wanasakwa na wana-ccm zaidi ya 60 walioletwa na wasaidizi wa bolizozo!.. Tutaweza kuthibitisha!

Bolizozo ni nani nchi hii?Hivi vikundi hivi ndivyo vitakuja kutusababishia mapigano.Na polisi nao wanaangalia tu raia wanachama wa Chadema wakisakwa na kupigwa?Kama ni hivi ktk chaguzi ndogo vipi chaguzi kubwa?
 
Hatuna namna ya kuwaletea vielelezo!.. Mpaka muda huu hali si nzuri. Wanachadema wanasakwa na wana-ccm zaidi ya 60 walioletwa na wasaidizi wa bolizozo!.. Tutaweza kuthibitisha!

nawewe umekalia kulialia tu humu kwa hiyo umekosa vijana zaidi ya hao wa ccm, fanya hivi kusanya vijana majasili hata kumi tu wanatosha anza kuwatafuta hao wanao piga watu hata kama ni mama zao, mkiwaminya watatu heshima itachukua mkondo
 
wewe my web nahisi si mzima hebu jaribu ukapime akili yako kwanza kisha uchangie.
 
Hatimaye Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la CHALINZE ametolewa kwa DHAMANA Dakika 20 zilizopita!!...
 
Ccm inabaka demokrasia hata ktk uchag.uzi za uchochoroni..R.I.p magamba
 
nawewe umekalia kulialia tu humu kwa hiyo umekosa vijana zaidi ya hao wa ccm, fanya hivi kusanya vijana majasili hata kumi tu wanatosha anza kuwatafuta hao wanao piga watu hata kama ni mama zao, mkiwaminya watatu heshima itachukua mkondo

Ni mapema mno kutumia njia hizo!.. Uwezo tunao lakini kwa sasa hatutafanya hivyo!..
 
Back
Top Bottom