Bafuni ni mahali panijengeapo maamuzi sahihi

Bafuni ni mahali panijengeapo maamuzi sahihi

nikiwa nakata gogo, sehemu ya pili nikiwa barabarani asubuhi, nikiwa kwenye gari peke yangu daftari pembeni au notepad, sehemu ingine nikiwa nafanya ibada ya asubuhi saa 11:30 asbh
GOGO ndo nini,,:juggle::juggle:
 
GOGO ndo nini,,:juggle::juggle:
images
 
Hata mimi huwa napata mawazo mazuri wakati naoga n huwa yanatekelezeka
 
Muda wangu mzuri wakutafuta idea nzuri iliyoshindikana ni wakati wakusali, nikitoka hapo nishajua nianze wapi
 
Bafuni sitaki kabisa coz vishawishi ni vingi. Nawaza mda wa kulala au ofisini asbuh kabla cjaanza kazi zangu.
 
Tafadhali shufu kichwa cha habari hapo juu,

Zamani muda wangu muafaka wa kuwaza na kuwazua ilikuwa ni usiku kabla sijalala (measuring pros and cons) but nikaona inaniongezea stress sana usiku hadi nashindwa kulala, nikaamua kujiondolea mawazo muda wa kulala nikapanga iwe asubuhi nikiamka ndo niwaze critically ila nayo ilifeli kutokana na asubuhi ile kufumbua2 hai hai zakutaka kuamka na kufanya mengine ya siku ikanikosesha muda wa kufanya tafakuri binafsi.

After a long run nikajikuta kila nikiingia bafuni mawazo ya tafakuri huja automatically na kufanya maamuzi sahihi hivyo kunipelekea kuwa nachelewa sana kutoka bafuni na nikitoka huwa nafikia mara nyingi kwenye utekelezaji wa matokeo mazuri ya tafakuri njema ya bafuni.

Kitu kilichonifanya nijishitukie sana na kukiwasilisha km kilivyo nijue kama muda wa tafakuri katika maisha ni lazima au vipi.

NAOMBA KUWASILISHA:A S 465:

Mmh, sijawahi sikia hii kitu. Ngoja nami nijaribu kesho.
 
Back
Top Bottom