Kama unayoandika humu kila siku yanashabihiana na maisha yako, then you've gotta to evaluate yourself dada yangu. Ni kama vile hujui unachotaka...usinipige mawe tu!!!
Siyo kweli wanatamani watoto na wala siyo wawakilishi wa wanawake wa Dar. Wengi wao ni manungaembe tu, muda wao wa kupata watoto umepita, la ni "single mothers".
Wakina mama wa JF msiwasemee mama zetu tafadhali! Wakilisheni "stress" zenu kwa heshima na utu, tutawaheshimu