Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

I hate to generalize and/ or stereotype...but damn!

Mademu wa kibongo na simu!!

What’s up with that?
Upumbqvu na ulimbukeni tu.

Unajua hapa bongo ukiwa na simu nzuri tu unaweza ukang'oa demu bila gharama yoyote.

Nakumbuka niliwahi kuwa na iPhone 4 miaka kama mitatu iliyopta basi jamaa yangu mmoja hivi namuitaga torres akawa anakuja kuniazima hili akuchukulie namba za mademu.. Na kweli alikuwaga anyimwi kabisa na wengi tu aliwala.

Wanawake wengi washamba sana hapa bongo wanaamini sana kwenye ufahari kuliko kuwa genuine
 
Putin njoo usome hapa
 
Snap chat tuuuuu. Halafu tukiwa na simu nzuri mnatuona matawi kama ukinitongoza unanitreat vizuri. Ndo wanavyosema lakini sio mimi
Huu ndio ukweli wenyewe kujiona matawi hakuna kingine.

Halafu unakuta simu yenyewe matumizi makubwa sana ni kuingia Instagram tu kuangalia akina mabeto na jaclin wolper. Shwenziii sana.
 
Upumbqvu na ulimbukeni tu.

Unajua hapa bongo ukiwa na simu nzuri tu unaweza ukang'oa demu bila gharama yoyote.

Nakumbuka niliwahi kuwa na iPhone 4 miaka kama mitatu iliyopta basi jamaa yangu mmoja hivi namuitaga torres akawa anakuja kuniazima hili akuchukulie namba za mademu.. Na kweli alikuwaga anyimwi kabisa na wengi tu aliwala.

Wanawake wengi washamba sana hapa bongo wanaamini sana kwenye ufahari kuliko kuwa genuine
Aisee...!
 
Sasa unataka atumie wapi zaidi ya insta na Snapchat? Picha nzuri ndo CV hivyoo
Instagram sijui sapcht unaweza ukatumia hata kwa simu isiyo kuwa na gharama kubwa iliyojuu ya uwezo wako, mbali na hivyo hizi iPhone x na simu zingine zenye kariba ya iPhone x zimetengenezwa kwa ajili ya kuendana na mazingira ya huko ilipotengenezewa yaani complexity yake aiendani na mazingira ya hapa bongo, iPhone x inaweza ikakuongoza wewe sehemu unayoenda ambayo huijui ila ukatumia GPRS ya eneo husika na pawepo na network connection kali sana isiyo na chenga chenga. Na pia vile vile unaweza ukaitumia kwenye security system ya nyumba yako lakini lazima pawepo na connection kati ya simu yako na vituo vya usalama.

SASA KIBONGO BONGO HAYA YOTE YANAWEZEKANA KWA TECHNOLOGIA GANI TULIYONAYO? SANA MTAISHIA KUIFURIHA PICHA TU NA KUIBEBEA POWERED BANK.
 
Back
Top Bottom