Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,390
- 88,766
Unaeweza kuta ana laki afu anataka aongezewe iliyobaki.


aisee noma sana umenikumbusha tulikua chuo na mwana tumeenda kula kumbe ana 200 anaomba kuongezewa buku aleNa ujanja huu ndo unaonisaidia sasa nisiliwe kijinga mjini. Ningekua mjinga mjinga ningeliwa sana ujueTatizo wewe mjanja sana.




Na wewe umetokea wapi?Hehehehehehe
Nalea mtoto kweli mimi na hiyo ndo relationship yanguHamna mdada wa mjini siku hizi ambae atakwambia yupo ktk rltnship...lkn ukifuatilia vzr unakuta analea mtt
Hahahahahaaaa. We usimsikilize NNI know she is so tricky!
Sasa hapo kuongezewa au kupewa?aisee noma sana umenikumbusha tulikua chuo na mwana tumeenda kula kumbe ana 200 anaomba kuongezewa buku ale
Baba wa mtt yupo wapi?Nalea mtoto kweli mimi na hiyo ndo relationship yangu
Tuliachana toka siku mimba imeingia. Anakujaga kumuangalia mwanae mara moja kwa miezi mitatu. Hayupo kwenye maisha yangu ya mahusiano kabisaBaba wa mtt yupo wapi?
Bila shaka wewe itakuwa ni mwanamama mwenyewe miaka zaidi ya 25.2.3M nikanunue simu? Labda kwa sababu sina ila sinunui ng'ooo hata nikipewa. Bora nikanunulie hisa kwenye vicoba najua mwisho wa mwaka sikosi faida ya 1M.
Kwahiyo ulimpenda sana ukabeba mimba yake tu mkaachana?Tuliachana toka siku mimba imeingia. Anakujaga kumuangalia mwanae mara moja kwa miezi mitatu. Hayupo kwenye maisha yangu ya mahusiano kabisa
Ndio nilichomuambia kua nimemnunulia sio kumuongezaSasa hapo kuongezewa au kupewa?
Mi nilipata akili kabla sijafikishaa 15yrs. Nina miaka zaidi ya 25 yes na naipenda hela kufaBila shaka wewe itakuwa ni mwanamama mwenyewe miaka zaidi ya 25.
Tofauti na huyo mama Sabrina ambae yuko kwenye adolescence.

Ni story ndefu na nahisi nilishaandika humu. Na uzuri uko kwa mtu sina uzuri huo wa kila mtu kusema mi mzuri. Mi na beb daddy ni habari nyingine kabisaKwahiyo ulimpenda sana ukabeba mimba yake tu mkaachana?
Nq uzuri wote huo unaosema unao hakukuona ww ni wife material?!
Daaah nikisikia hvyo mindo nafuta na namba yake kabisaNi kweli, Umeona mbali sana.
Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
Ndio nilichomuambia kua nimemnunulia sio kumuongeza





. Unaongezewa kodi ya nyumba 3M wewe una laki 5Kwahiyo jimbo lipo wazi mkuu nianze kupiga jalambaJuzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
