Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

2.3m napata machine 6 za popcorn ambazo kila week zinaleta laki 3 na 60, ambayo nikikusanya kwa miezi 2 napata hiyo simu na faida juu ya biashara.
Ila ungempa hata laki 3 jamani sio kumkaushia kabisa.
 
Katuni na music

Hivi na yeye anaujua ule wimbo wa Nandi?

Maana mimi nina marafiki zangu hapo jirani walio kwenye rika lake na wanaujua huo wimbo mwanzo mwisho.

Kuna siku niliwaambia waniimbie halafu ntawanunulia pipi nikienda supermarket na wakaniimbia bana.

Nilishangaa sana!
 
Back
Top Bottom