Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,866
Si atanifaa huyu awe bae eti
Yeah huyo anaonekana hana mambo mengi!
Ila pia anaonekana ni homebody kwa hiyo trip za La Stanza itabidi zipungue sana.
Si atanifaa huyu awe bae eti
Au huu ubonge? Nitapungua bna
Au huu ubonge? Nitapungua bna
Unaeweza kuta ana laki afu anataka aongezewe iliyobaki.Lakini sialiomba kuongezewa tu ungemuuliza anataka kuongezewa kiasi gani alafu hicho kiasi ndio ukakifanyia uchambuzi
Ngabu hafai kuwa bby ataniua kwa presha huyuAhahaaa Rrondo atapata stress.wewe mchukue ngabu mkanywe Heineken zenu huko.
Hivi Rrondo Si unichukue tu Mimi muhenga mwenzio tutashare zetu vinokia vyetu vya tochi mjengoni?



Hapo mwisho kumbe ni chukiHuyo kweli hafai kabisa. We emdelea kum drill mpaka akili yake ikae sawa.
"OFF TOPIC" Una maoni gani juu ya game ya jana. Kuna jamaa (chuki binafsi) zinasema tumebebwa.
Hivi na yeye anaujua ule wimbo wa Nandi?
Maana mimi nina marafiki zangu hapo jirani walio kwenye rika lake na wanaujua huo wimbo mwanzo mwisho.
Kuna siku niliwaambia waniimbie halafu ntawanunulia pipi nikienda supermarket na wakaniimbia bana.
Nilishangaa sana!






mkurya wangu anajua kucheza tuuSema ndo wanaume hawatuonagi bwanaHizo qualities za kiwife material![]()

Ngabu hafai kuwa bby ataniua kwa presha huyu
Mi la stanza si naenda kwa kuwa hamna wa kupoteza nae muda. Unadhani niwe na bby mji huu nitakua natoka kwenda wapi sasa.Yeah huyo anaonekana hana mambo mengi!
Ila pia anaonekana ni homebody kwa hiyo trip za La Stanza itabidi zipungue sana.
Akili kama hii alie/atakaekuoa ana bahati sana.2.3m napata machine 6 za popcorn ambazo kila week zinaleta laki 3 na 60, ambayo nikikusanya kwa miezi 2 napata hiyo simu na faida juu ya biashara.
Ila ungempa hata laki 3 jamani sio kumkaushia kabisa.
Acha kumchinjia baharini MissMiss tujadili mada iliopo...
Hahahaaaaaa aiseee!
Au kwa vile sina masikio?







. Sasa huna masikio mautundu yangu ntayaonesha vipi unadhani