Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!

Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!

Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.

NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Ohoooo jamani mawifi zangu mbona wananiaibisha?
 
pearsons-300x156.gif

r=-1
Sio kwa mcalculation huo ahahaaa
 
Snap chat tuuuuu. Halafu tukiwa na simu nzuri mnatuona matawi kama ukinitongoza unanitreat vizuri. Ndo wanavyosema lakini sio mimi

Whatever “matawi” means lakini mimi sidhani kama simu inabadilisha character au status ya mtu kwenye jamii.

Ila nimegundua wapo watu wanaozichukulia baadhi ya aina za simu kuwa ndo status enhancer.

At the end of the day, to each his own.
 
Whatever “matawi” means lakini mimi sidhani kama simu inabadilisha character au status ya mtu kwenye jamii.

Ila nimegundua wapo watu wanaozichukulia baadhi ya aina za simu kuwa ndo status enhancer.

At the end of the day, to each his own.
Remember your iPhone thread?
 
Hela niliyoitolea jasho siwezi kuifuja kwa mwanamke aisee.

Heri niitumie kwa mwanangu ambaye najua she is loyal to me till the end.

Au labda nikija kuoa. Hapo sitakuwa na tatizo ingawa napo itabidi nitumie akili kubwa maana wake za watu nao ndo walewale tu.

Lakini kwa Kisura I go all out man. Her happiness is mine as well.
Best baba. Kwahiyo mimi ile Iphone X huniletei tena?
 
Tunaojihudumia tunakuaga na akili. Unadhani ningekua napewa tu ningepata hiyo akili? Mi mtu akinipa ananiongezea ila changu nakitafuta kwa nguvu jamani sasa ndo nichezee hela hivyo wee

Halafu billing cycle ijayo ntakulipia mimi ile bill ya DSTV!

Wewe sikuamini. Nikikupa hela ukalipie si ajabu utakosea tena kama ile siku.

Teh teh unakumbuka?
 
Back
Top Bottom