bado...

bado...

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,458
Reaction score
61,721
familia ya Juma walikua wanalala chumba kimoja na mtoto wao,wenyewe kwenye kitandani cha kamba dogo analala kwenye mkeka chini.
siku moja wakati wa majambozi huku wakijua dogo kasinzia Juma akamuuliza mkewe "imeingia?"kabla mama hajajibu dogo kadakia;
BADO haijaingia hii huku chini.
 
Back
Top Bottom