Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Nyerere angeogopa na kukaa kimya baada ya kuwekwa mahabusu sijui kama leo ungekuwa unaanzisha thread namna hii katika nchi inayoitwa Tanzania.

Ni nani huyo anayefananishwa na Baba wa taifa????!!! Nyerere had a cause, sasa hawa CHADEMA do they have a cause??? Upo wakati walikuwa wanapambana dhidi ya UFISADI, baadaye wakabadili gear angani, sasa wamekuja eti kupigania demokrasia na kuondoa kile wanachoita 'udikteta'...lakini kumbe wao wenyewe ndani ya CHADEMA hawana demokrasia na halafu maamuzi yao mengi ni ya kidikteta....
 
Kitendo cha kumleta Lowasa na kumfanya kuwa mgombea Urais, palepale nilipoteza imani na Chadema.

Ila inaniuma sana chama kilichokuwa kinatetewa na kila mtanzania mpenda mabadiliko kinaenda kufa kifo cha mende.

Itatuchukua miaka mingi kupata chama kitakachowashika watanzania mioyoni mwao kama Chadema.!
 
Hata ww bado una IMANI. Ndiyo maana umepata muda wa kujadili.
 
Furaha yako ulitaka uone vijana wamejeruhiwa au kuuliwa kwenye maandamano? Hata shetani hawezi kuwa na mawazo mabaya kiasi hicho! Imeandikwa,heri wapatanishi maana hao watauona ufalme wa mungu na wahenga walisema heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Mimi nina imani na CHADEMA.
Nyani Ngabu tengeneza uzi mwingine wenye vitufe vya ku vote ili research yako iwe na Maana
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa akaunti ya nyani ngabu anaitumia yeye mwenyewe. Ni juzi alitetea Lema kuhatarisha afya yake kwa kugoma kula akishinikiza dhamana sasa leo aandike hivi? Big no
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa akaunti ya nyani ngabu anaitumia yeye mwenyewe. Ni juzi alitetea Lema kuhatarisha afya yake kwa kugoma kula akishinikiza dhamana sasa leo aandike hivi? Big no

Mimi nilimtetea Lema kuhatarisha afya yake kwa kugoma kula akishinikiza dhamana?

Haya, kiuungwana kabisa naomba unionyeshe mahala nilipomtetea huyo bwana kwa namna ulivyoielezea wewe.

Tafadhali sana.
 
Washawajua waguas wao n watu wa kukubal tu kila ktu, ndio maana wanacheza na akl zenu tu
 
Ndio mnashtuka leo? Wengjne tulishakosa imani miaka mingi .... Wengine mkawa kina Thomas hakubali ya kuambiwa wala hamshauriki hadi mjionee wenyewe.

Haya sasa wako wapi waliombeza Dr Slaa?
Wera wera; tieni akili sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…