Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,984
- 7,888
October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?Unaposema how much the government lost monentarily unakuwa na maana gani wakati pesa waliyotumia iko kwenye budget yao iliyopitishwa na bunge.
Inawezekana neno LOST katika muktadha huu lina maana nyingine unayoifahamu wewe ambayo haipo katika kamusi ya uchumi.
Sitaki niwabeze CHADEMA kwa uamuzi wao wa kusitisha maandamano na mikutano pamoja na kwamba walichukua jukumu ambalo lilikuwa ni kubwa zaidi ya uwezo wao kisiasa.
Ninawapongeza CHADEMA kwa uamuzi wa kusitisha oparesheni ya UKUTA.
October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?
Unasema kuna budget ambayo imehalishwa Na bunge, Ni ipi hiyo, understand that Hii ni tanzania resources are so limited!
Tuseme serikali inaacha interference Na chadema wanafanya peaceful demo, serikali wanapoteza nini??
As long as CCM itakuwepo, upinzani utakuwepo, that is chadema Na wengine. Kwetu sisi independent hata Kama one day opposition watachukua nchi, we gonna still criticize the sitting government if they are wrong!! Msumeno.I warned about that a few days ago...
Time and money kwa lipi wakati bunge limepitisha budget yao?October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?
Unasema kuna budget ambayo imehalishwa Na bunge, Ni ipi hiyo, understand that Hii ni tanzania resources are so limited!
Tuseme serikali inaacha interference Na chadema wanafanya peaceful demo, serikali wanapoteza nini??
Hivi kweli unaamini Oktoba watarudia tena huu upuuzi?
You really love this governmentIO sema mkuu, unaweza kusema ni serikali imegharimia sana hasa kama ungeweza kusema maandalizi yote yale ya serikali yasingefanyika wakati wa kuelekea Siku Kuu ya Majeshi (JWTZ). Ni wazi serikali na vikosi bado vingefanya maandalizi na labda baadhi ya maandalizi ambayo huwa wanafanya kimya kimya kama kawaida (na tunajua vikosi vyetu huwa wanafanya) waliamua kuyafanyia hadharani tu.. kwa hiyo hata kama kuna gharama ya nyongeza inaweza kuwa si kubwa kivile.
Lakini hata hivyo, kama kuna watu wameamua kutishia kupambana na serikali kwa namna ya "haturudi nyuma liwalo na liwe" vikosi vya usalama vilitarajiwa kufanya nini?
Binafsi ninachohofia ni kuwa labda sasa CHADEMA wenyewe wamempa nguvu zaidi Magufuli kuliko ambayo walidhani anayo...
NDOTO!!!October UKUTA watakuja tena Na mtindo huu, serikali itafanya Kama ilivyofanya this time, right? Then Chadema watakwepa virungu kwa kuahirisha maandamano tena. Wakati wote serikali wanapofanya move wanatumia time and money. You know that?
Unasema kuna budget ambayo imehalishwa Na bunge, Ni ipi hiyo, understand that Hii ni tanzania resources are so limited!
Tuseme serikali inaacha interference Na chadema wanafanya peaceful demo, serikali wanapoteza nini??
Twende na CUF 2020Kipi??
Pamoja na makosa wanayofanya, na kwa Tanzania hii nayoijua.... CDM kitabakia chama kikuu cha upinzani.
Labda CCM ivunjike.
You really love this government
Magufuli kapiga brake kwenye sikukuu zote kwa ajili ya gharama, hili kweli hujaona?
Unataka tumwamini nani zaidibya Chadema, kwa lipi jema, ??? Serikali ya viwanda vya matamko??Hawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Unataka tumwamini nani zaidibya Chadema, kwa lipi jema, ??? Serikali ya viwanda vya matamko??
MWKJJNimeona lakini labda naangalia kwa tofauti tu; gharama zipo na kwa kawaida gharama zinaendelea kuwepo. Hoja ni kama kweli gharama zilizotumika ni kubwa mno kuliko ambavyo ilipangwa kutumika kama kusingekuwepo na mpango wa mgongano wa maandamano. Hatuwezi tu kusema ni "gharama kubwa" bila hata kuwa na baseline ya kusemea hivyo ni nini.
Naweza kukubali tu zinaweza kuwa zimeongezeka kidogo lakini siwezi kuwa na ujasiri wa kusema ni gharama kubwa mno kuliko ambavyo zingekuwepo kama majeshi yangefanya mipango yake na mazoezi yake ya kawaida. Kwa mfano, polisi kutembea au kufanya mazoezi mbele ya hadhara ambayo huwa wanafanya kambini (na najua huwa wanafanya mazoezi kama haya mara kwa mara) kutakuwa na gharama gani kubwa ukiondoa ya kuwasafirisha?
Nadhani hata tunapotaka kuikosoa serikali tufanye hivyo tukiwa na sense of fairness.
CUF labda Zanzibar... huku bara naona kitasubiri sana.Twende na CUF 2020
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti Ready to rumble...
No one rumbled. Y'all folded like cheap suits.
CHADEMA wanatuchelewesha sana kwenye ukombozi! FANYA uchunguzi wako huru pleaseCUF labda Zanzibar... huku bara naona kitasubiri sana.