Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,438
- Thread starter
-
- #241
Sioni kabisa walichofaulu CHADEMA.Strategically Chadema wamefaulu kuifanya serikali iyumbe, wamerusha ndege, many arrests, wametumia mapesa mengi, hii yote Ni hasara inayotafsirika kwenye uchumi ulipotea. Let say watafanya mambo Kama haya muda mwingi Na serikali itakuwa inafanya hivi walivyofanya? Mwishowe serikali itaona Ni upuuzi kupoteza pesa bure.
Sorry bro. mwendokasi, sikugundua HiloUlitaka niulize halafu nijijibu mwenyewe?
Makosa walifanya makubwa siku wanamfukuza Dr Slaa tena kwa kebehiHawa jamaa leo wamefanya makosa ambayo watakuja kuyajutia huko mbele....
Walichokifanya ni sawa na mchezaji wa mpira aliyebaki na goalkeeper halafu akapiga mnazi....
Count how much the government lost monetarily ??Sioni kabisa walichofaulu CHADEMA.
Magu punked them out and they folded like cheap suits.
It was an epic fail!
I honestly don't see how or what the government lost.Count how much the government lost monetarily ??
That is very important! Mikoa yote, madege yamerusshwa majeshi alerted! For what? Who is the loser not Chadema!
Komredi na wewe ulikuwa umepanga kuingia kitaa kuandamana?Ngoja nisicomment lolote hapa....
Ngoja niendelee kutafakari....
Ngoja niendelee kuwasoma...
Kipi??Makosa walifanya makubwa siku wanamfukuza Dr Slaa tena kwa kebehi
Lissu ndiye aliita waandishi kumdhihaki Mzee Slaa
Hawakufikiri je wakishindwa nani atakijenga chama
Lowassa ni rafiki wa CCM hawezi hata kukemea kitu
CHADEMA imekufa
2020 tutafute chama kingine
Nlichukua emergency leave. Na hivi Magu kakataza tusinywe bia asubuhi... nadhani ntaenda zangu Mapinga nikacheze na mbuzi wangu.Komredi na wewe ulikuwa umepanga kuingia kitaa kuandamana?
Nlichukua emergency leave. Na hivi Magu kakataza tusinywe bia asubuhi... nadhani ntaenda zangu Mapinga nikacheze na mbuzi wangu.
Nisingeandamana ila ningesapoti maandamano.
Count how much the government lost monetarily ??
That is very important! Mikoa yote, madege yamerusshwa majeshi alerted! For what? Who is the loser not Chadema!
Binafsi ninachohofia ni kuwa labda sasa CHADEMA wenyewe wamempa nguvu zaidi Magufuli kuliko ambayo walidhani anayo...
Unaposema how much the government lost monentarily unakuwa na maana gani wakati pesa waliyotumia iko kwenye budget yao iliyopitishwa na bunge.Count how much the government lost monetarily ??
That is very important! Mikoa yote, madege yamerusshwa majeshi alerted! For what? Who is the loser not Chadema!
Mbona unalia?tupo
Hilo suala la gharama ndilo limekuwa utetezi wao,wanajifariji nalo...wakati hadi jana asubuhi walikuwa wanakaza shingo ukutani.Unaposema how much the government lost monentarily unakuwa na maana gani wakati pesa waliyotumia iko kwenye budget yao iliyopitishwa na bunge.
Inawezekana neno LOST katika muktadha huu lina maana nyingine unayoifahamu wewe ambayo haipo katika kamusi ya uchumi.
Sitaki niwabeze CHADEMA kwa uamuzi wao wa kusitisha maandamano na mikutano pamoja na kwamba walichukua jukumu ambalo lilikuwa ni kubwa zaidi ya uwezo wao kisiasa.
Ninawapongeza CHADEMA kwa uamuzi wa kusitisha oparesheni ya UKUTA.