best5
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 202
- 70
capital city dodomaDodoma imepangiliwa kwa asilimia zaidi ya 90,sehemu iliyobakia watu walivamia wakajenga holela kutokana na urasimu wa kupata viwanja lkn nayo maeneo hayo yanaboreshwa ili yakae kimpango mji kuna baadhi ya nyumba zinavunjwa ili kupisha miundo mbinu kv barabara,maji taka,maji safi,umeme n.k .na wamiliki wake kulipwa fidia na kupewa eneo jingine na hilo limefanikiwa. Mamlaka za nchi zije zikajifunze Dodoma