Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Si pandizi na wasaaliti karma weye wamekuwa wengi,We miss you Regia.
Bahati mbaya ile chadema uliyoiacha kipindi kile, sio hii iliyopo sasa.
mambo yamebadilika mno.
viongozi wanatimuana, wanatukanana, wanapelekana mahakamani.
Matamko kila kukicha, wasemaji wa chama wamekuwa wengi.
Mwenyekii alikiri kuwa alipewa pesa na Nimrod Mkono yule mbunge tajiri wa CCM.
Chadema ile sio hii Regia. Rest in peace mpiganaji.
Si pandizi na wasaaliti karma weye wamekuwa wengi,
We miss you Regia.
Bahati mbaya ile chadema uliyoiacha kipindi kile, sio hii iliyopo sasa.
mambo yamebadilika mno.
viongozi wanatimuana, wanatukanana, wanapelekana mahakamani.
Matamko kila kukicha, wasemaji wa chama wamekuwa wengi.
Mwenyekii alikiri kuwa alipewa pesa na Nimrod Mkono yule mbunge tajiri wa CCM.
Chadema ile sio hii Regia. Rest in peace mpiganaji.
Chadema ni ile ile. Chadema ni moja. Chadema imeimarika zaidi. Regia amefariki hakuacha mgogoro wa madiwani Arusha ulioratibiwa kwa karibu kabisa na Zitto Zubeir Kabwe.
Regia amefariki hakumwacha Zitto Zubeir Kabwe akitumiwa na usalama wa taifa kukiharibu chama ambacho Regia alijitoa kukijenga.
Regia amefariki hakumwacha Zitto Zubeir Kabwe akitukana viongozi wakuu wa chama. Regia alifariki aliacha nidhamu kwa viongozi wake.
Sasa chadema inarudisha misingi yake. Inajenga timu inayowaza mamoja kuelekea kutwaa dola 2015. Inasafisha makapi,makandokando na mapandikizi yote ya CCM.
Chadema ni moja, mwenye kutaka ukombozi wa pili wa Mtanzania na aje!
Fungua thread uelezee huu ujinga wako, hapo tuko kwenye kumbukumbu ya REGIA, sio mambo ya migogoro yenu!
Nilimfahamia humu jf kupitia post fulani ya Mzee Mwanakijiji,
Nilipopandisha thread hii, Chadema Yakubali Yaishe! Yamtambua Rasmi JK!
Yeye alinishukia kwa thread hii, Pasco Tuombe radhi CHADEMA-
Hatimaye nikaomba rasmi msamaha! Nawaomba radhi wana CHADEMA,
From there tukawa marafiki
Na kwenye mazishi kule Kilombero, nilikuwa ni miongoni mwa jf team iliyomsindikiza hadi safari yake ya mwisho kwenye makao yake ya milele!.
RIP RM!.
Pasco
Mkuu hapa tumzungumzie Regia zaidi na si mgawanyiko ndani ya CHADEMA....Mkuu CHOONI, Chadema ni moja. Chadema ni ya Watanzania. Chadema aliyoiacha Regia inazidi kuimarika. Regia hakuacha wahalifu wa kufifisha jitihada za kumkomboa Mtanzania.
Chadema ni njema, mwenye kutaka kuja Chadema na aje!
Mkuu CHOONI, Chadema ni moja. Chadema ni ya Watanzania. Chadema aliyoiacha Regia inazidi kuimarika. Regia hakuacha wahalifu wa kufifisha jitihada za kumkomboa Mtanzania.
Chadema ni njema, mwenye kutaka kuja Chadema na aje!
Mkuu mimi nilikuwa namjibu huyu hapa chini. Aau yeye hamjamwona?Mkuu hapa tumzungumzie Regia zaidi na si mgawanyiko ndani ya CHADEMA....
Ndibalema said:We miss you Regia.
Bahati mbaya ile chadema uliyoiacha kipindi kile, sio hii iliyopo sasa.
mambo yamebadilika mno.
viongozi wanatimuana, wanatukanana, wanapelekana mahakamani.
Matamko kila kukicha, wasemaji wa chama wamekuwa wengi.
Mwenyekii alikiri kuwa alipewa pesa na Nimrod Mkono yule mbunge tajiri wa CCM.
Chadema ile sio hii Regia. Rest in peace mpiganaji
Sawa Lakini huo ushabiki wako, hapa sio mahala pake!