Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Hii hoja inawauma sana. Mlitishia hadi who mara mabeberu yatatufungia mipaka bla bla kibao ila baba jiwe akaweka ngumu no lockdown na tumesonga. Mlitamani tufe wengi mpate kumlaumu vizuri
Huu ni uongo mtupu Nchi nyingi za kiafrika COVID19 haikuwa na athari kubwa kama Western countries na huko huyo anayejiita MWENDAWAZIMU hakutia mguu kwenda kuibamiza.
 
Kwa kubebwa na tumeccm na polisiccm lakini uchaguzi HURU na wa HAKI maccm hayana chao? Kwa lipi walilolifanya? Miaka 60 ya uhuru Nchi haina chochote cha kujivunia. Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara wote ni vilio tu.
Mkuu pole kwa yote
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ukitaja miaka 60 unagusa wote hao hadi muanzilishi wa chadema.

Hamkugoma bali mlifanya sitaki nataka. Mlitaman mno kudeki barabara tena
Kwani uchaguzi wa mitaa 2019 si uligomewa!? Kuna jipya lolote lilitokea la hii serikali dhalimu? Ni vikwazo tu vya nguvu kiuchumi ndiyo vitaitia adabu hii Serikali dhalimu. Hakuna popote nilipoandika kuhusu Nyerere au Mkapa.
 
Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.

Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka...
Nadhani sehemu ulipo kuna moshi mwingi sana hivyo huoni mbele, lakini mambo yote ni October 28; ni siku nne tu zimebaki!!!
 
Sawa kabisa CCM sasa basi tumechoka unyanyasaji na umaskini kwa miaka 60.
Bila kupepesa macho ccm hasa Zanzibar haipo miaka mingi sana hata Rais mstaafu Amani karume kama lilivyo jina lake aliomba amani na maalim wakaunda serikali mseto, sasa kuna watu wanavichwa vigumu wanalazimisha kupendwa!a mwaka huu ya 2001 cha mtoto
 
Lowassa aliyechangamka huyo.

Soon anarudi kwenye matibabu mkuu so hizo hashtag zako hazina maana
Kesha tokea tayari anarindima, Raisi wa chuma anataradadi vizuri sana

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER
 
Umeshashiba Makande. Ccm inashinda vipi?
Kampeni wamekabidhi maafisa kificho na NEc bao inaangukia pua.
Haijawahi tokea mgombea wa ccm kula kona kusini kulipo kuwa ngome yao kuomba kura,Hadi wanasingizia vimbunga.
Kusini ndo awataki hata kuisikia ccm sababu ya uzulumati, nape aliwaonya akaambuliwa kutishiwa kupigwa mashangazi zao, waende sasa wakapige mioyo ya mashangazi ili ibadilike iichague ccm.
 
Bila kupepesa macho ccm hasa Zanzibar haipo miaka mingi sana hata Rais mstaafu Amani karume kama lilivyo jina lake aliomba amani na maalim wakaunda serikali mseto, sasa kuna watu wanavichwa vigumu wanalazimisha kupendwa!a mwaka huu ya 2001 cha mtoto
Ndo yaliyoikuta KANU mazoea.
 
Typing is easy so simple. Ila shukran kwa kumuamsha
Hawakujua tatizo. Yaani jamaa alitaka sifa za covid akasahau kipigo cha Lissu badae. Alifanganywa na wapiga makofi kuwa anakubalika. Wananchi wanachomfanyia hana amani kabisa.
 
Mkapa naye alikuwa ni fisadi na mwizi tu. Na hata Nyerere aliposema hadharani kwamba ccm si mama yake aliyekuwa madarakani ni Mkapa na wakati ule maccm hawakuwa na hali mbaya kama miaka iliyofuata hadi Kikwete kuja na kauli ya kulivua gamba na kisha kusema hadharani ccm kuna MAFISI. Hivi sasa hata sumu maccm wanatiliana wenyewe kwa wenyewe achilia mbali mauaji yao dhidi ya wapinzani kupitia watu wasiojulikana.
Ukitaja miaka 60 unagusa wote hao hadi muanzilishi wa chadema.


Hamkugoma bali mlifanya sitaki nataka. Mlitaman mno kudeki barabara tena
 
Back
Top Bottom