Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Shabiby, Msukuma, Abood, Ndugai wote wana mabasi mapya no E unategemea nini?Hiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine.
Shabiby, Msukuma, Abood, Ndugai wote wana mabasi mapya no E unategemea nini?Hiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine.
na ole wao watakaopanda kwa siku zile za majaribio sina imani na hawa ccmHiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine.
Angekuwepo Chuma labda. Hawa kaulegeza tutasubiri sana chuma kutembeaWalituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,