Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 20,715 20,472 Mar 3, 2023 #1 Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC Uzi
Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC Uzi
Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Mar 3, 2023 #3 Walikuwa na mkakati maalumu kwasasa wamefanikiwa ndo maana wapo kimya.
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,409 81,895 Mar 3, 2023 #4 Wakiahidi, mnalalamika! Wasipoahidi, bado mnalalamika tena! Hata hamueleweki mnataka nini!!!
luangalila JF-Expert Member Jan 12, 2014 6,325 6,871 Mar 3, 2023 #5 Binafsi namkumbuka mjomba Magu ..enzi zake sizani kama hao majamaa yanhe cheka cneka
NAJYUZ JF-Expert Member May 10, 2021 1,871 3,193 Mar 3, 2023 #6 Counsellor Salah anatoa ahadi kwenye NBC tu. Huku pengine hatoi ahadi. Halafu kingine,Hela za mwanaume mwenzio usipende kumpangia nini afanye. Anafanya kitu ambacho yeye anaona kinafaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Counsellor Salah anatoa ahadi kwenye NBC tu. Huku pengine hatoi ahadi. Halafu kingine,Hela za mwanaume mwenzio usipende kumpangia nini afanye. Anafanya kitu ambacho yeye anaona kinafaa. Sent using Jamii Forums mobile app