True Man11
Member
- Oct 14, 2022
- 95
- 139
Hakuna sehemu nimesema Mimi muoga, huwezi kufata wadada ovyo pm na kuanza kuwatongoza, hii sio adabu.Umeshindwa kuwafata wadada pm? Nenda kawatongoze usisubiri kutongozwa.
Huko unapoishi watongoze pia acha uoga
Kufata mwanaume akupende pia sio adabu kwa mwanamke.Hakuna sehemu nimesema Mimi muoga, huwezi kufata wadada ovyo pm na kuanza kuwatongoza, hii sio adabu.
Naona umekuja kubishana, good dayKufata mwanaume akupende pia sio adabu kwa mwanamke.
Ushafyata mkia wakati demi kaja ili umfuate pm muyajenge ww unakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata usipomuwish good day nigger girl already have better day than yoursNaona umekuja kubishana, good day
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbona unatusemea mkuuHizo biashara za kawaida ndo madem hawazitaki na maisha ya kawaida ndo kabisaaaaa hawatakuja ww ingia mtaani tongoza tatizo lenu mnadhani madem wa huku jf ni super sana kumbe ukikutana nao bora wa mtaani kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sibishani mdogo wangu. Ondoa uoga...watongoze unaowapenda. Upweke ulio nao ni wa kujitakia.Naona umekuja kubishana, good day
Ndiyo maana nimeeleza wazi, sipo hapa kufanya biashara ya mapenz! Nipo Kwa atakaye elewa na mwelewa pia kuhitaji, ningetaka biashara wapo wa 10,000 sinza na haja yako unamaliza.Hizo biashara za kawaida ndo madem hawazitaki na maisha ya kawaida ndo kabisaaaaa hawatakuja ww ingia mtaani tongoza tatizo lenu mnadhani madem wa huku jf ni super sana kumbe ukikutana nao bora wa mtaani kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbona unatusemea mkuu
Fungua PM yako nikutongozeSibishani mdogo wangu. Ondoa uoga...watongoze unaowapenda. Upweke ulio nao ni wa kujitakia.
Jiamini
Andaa chai na kitoweo maana leo jioni imenipasa kuwa mgeni wako PM😇😀Umeshindwa kuwafata wadada pm? Nenda kawatongoze usisubiri kutongozwa.
Huko unapoishi watongoze pia acha uoga
KaribuuAndaa chai na kitoweo maana leo jioni imenipasa kuwa mgeni wako PM😇😀
Kijana mdomo wa chini umetengenezwa kwa zege. Maneno hayaumani.Sibishani mdogo wangu. Ondoa uoga...watongoze unaowapenda. Upweke ulio nao ni wa kujitakia.
Jiamini
Ingekua kinyume na nilivyoandika asingekua mpweke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbona unatusemea mkuu
Hata hao wa sinza huwawezi huna nguvu na mamlaka kama mwanaumeNdiyo maana nimeeleza wazi, sipo hapa kufanya biashara ya mapenz! Nipo Kwa atakaye elewa na mwelewa pia kuhitaji, ningetaka biashara wapo wa 10,000 sinza na haja yako unamaliza.