Umezaliwa mwaka gani na umeanza kuishabikia Simba mwaka gani?Mie father Yanga lialia. Ila mie Simba. Ilikuwa hivyo baada ya kukuta Simba inafanya vizuri sana 1992/1993
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo?Mie father Yanga lialia. Ila mie Simba. Ilikuwa hivyo baada ya kukuta Simba inafanya vizuri sana 1992/1993.
Hivi unajua mmoja wapo ya watoto wa Beckham ni shabiki kindakindaki wa Arsenal wakati kamuona baba anakipiga Man U?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba nimeanza kushangilia mwaka 1990. Mwaka wangu wa kuzaliwa haukuhusu.Umezaliwa mwaka gani na umeanza kuishabikia Simba mwaka gani?
Very trueHaji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.
Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.
Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.
Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.
Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.
Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.
Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.
Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.
This is not royal bro.
Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!
Whats up bro?
Babu yake Haji Manara alikuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba miaka ya sabini kwa inawezekana kabisa Haji kuwa shabiki wa Simba. Pili kama ni kweli alikuwa shabiki wa Yanga tungeona picha zake akiwa kiwanjani. Kwa mzawa wa mjini huwezi kukosa kumbukumbu zake uwe kwenye gazeti au rafiki zake wa karibuUmezaliwa mwaka gani na umeanza kuishabikia Simba mwaka gani?
Hueleweki Mara mwaka 90 Mara 92/93..Which is which and which is not which? Anyway probably wewe ni mtoto wa nje ..Hujakua na baba ako. Haiwezekani baba ako awe Yanga wewe uwe Simba. Hakunaga kitu kama hicho ni sawa na na kusema ulianza kumpenda Yesu ukiwa na miaka mitatu wakati baba ako alikuwa mwalimu wa madrassaSimba nimeanza kushangilia mwaka 1990. Mwaka wangu wa kuzaliwa haukuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hilo la babu yake kuwa Mwenyekiti inawezekana ikawa sababu . But kuhusu baba ake Haji Manara , hakuwa shabiki.Alikuwa Mchezaji wa Yanga wa kutumainiwa na kutegemewaBabu yake Haji Manara alikuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba miaka ya sabini kwa inawezekana kabisa Haji kuwa shabiki wa Simba. Pili kama ni kweli alikuwa shabiki wa Yanga tungeona picha zake akiwa kiwanjani. Kwa mzawa wa mjini huwezi kukosa kumbukumbu zake uwe kwenye gazeti au rafiki zake wa karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake kuishi kwa kukariri. Kupenda timu sio sawa na dini. Mie mpira nimeanza 90 kwa kuufuatilia 92/93 nikaipenda Simba jinsi ilivyokuwa ina perform. Halafu usikariri mtoto halelewi na baba tu.Hueleweki Mara mwaka 90 Mara 92/93..Which is which and which is not which? Anyway probably wewe ni mtoto wa nje ..Hujakua na baba ako. Haiwezekani baba ako awe Yanga wewe uwe Simba. Hakunaga kitu kama hicho ni sawa na na kusema ulianza kumpenda Yesu ukiwa na miaka mitatu wakati baba ako alikuwa mwalimu wa madrassa
Halafu kuna wakati alikuwa anakata maji sijui siku hizi!Haji anaipenda Simba kama anavyoipenda CCM. Alinihadithia wakati yuko mdogo kuna siku ilikua mechi ya Simba na Yanga, akachukua viatu cha baba yake akavitia kwenye ndoo ya maji Ili asiende kwenye mechi ya watani wa jadi. Anasema hata yeye hajui ilikuwaje akawa tofauti na mzee wake.
Sent using Jamii Forums mobile app