Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

Iba hela utasamehewa.Fuata mke wangu dunia inichukie na kuniita majina yote.Mimi ni mchoyo sana.
 
Dah kiongozi nimeipenda hii ya kugawana majengo ya serikali kirohosafi

Laiv!! Huenda akarudia huyu...sababu km alivosema mshkaji pale juu "muonja asali haonji mara moja" huyu jamaaa atamfanya tena huyo mwanamke....
 
Wewe sio wa kwanza. Alifanya hivyo Napoleon Bonaparte. Bahati nzuri yeye alikuwa mpigaji, wewe wapigiwa tu. Ulidhani kapigwa siku hiyo tu! Huwa mpigiwa is the last to know kama apigiwa. Angalia usipigwe mwenyewe
 
Sasa umfanye nini jamaa?na kama mke hajatulia utapigana na mwanaume wangapi?

Wewe deal na mke wako kwani kama mke hajatulia utapigana na wanaume wangapi?

Well said! Kwanza ukiona hakufai unaacha naye period!
Si wanasemaga wanawake wako wengi? Ya nini kuharibu maisha yako yote jela kwa kupiga au kuua mke aliyekusaliti?
 
Ili na wewe ukachapwe, inaonekana vya shem havikukolei au ndo wale waliozoea modushelele ya style tofauti, unaweza ukawa umeimiss ile iliyopinda kwe pembeni. Katika mahusiano hakikisheni hamzoeshani kugongana mara kwa mara itasababisha wote msiwe waaminifu endapo mmoja atasafiri mda mrefu au ataumwa. Pia jengeni mazoea na kimissiana kwa kujizoeshatu usisubiri usafiri funsishaneni namna ya kistahimili kwa kistop doin hata lm mpo wote ili mzoee hata hali ya dhiki. Pia kabla hujaingia kwenye ndoa angalia mtu mnae endana kitabia. Kuna mabinti wanapenda sana kugongwa sasa wewe km mvivu lazma watakusaidia. Na hv tunaoana tumeshakua used, kumbe mwezio alivyo zoeshwa mata tatu kwa week we mara moja. Ndo maana wanashauri kusomana na kuzoeana kabla ya ndoa.

Asilimia kubwa ya wanawake akiwa bado hajazaa libido huwa chini sana . Na akisha zaa kuanzia watoto wawili hali inabadilika na wewe waweza kuanza kulaumu anafundishwa na mashoga au kaanza kuwa malaya!
Inakuwa kama anawashwa vile! Kwahy usijipe matumaini eti ulikua unamshughulikia mara moja kwa wiki kabla hujamuoa na ataendelea na hali hiyo mpk uzeeni!
Mwanaume jiandae kukabiliana na kumridhisha mkeo kwa percent nyingi kwny Kitanda!
 
Naomba Mungu anipe roho mbaya hata nisiwaze kusamehe, achilia mbali kuishi nae tena..!! Avuliwe chupi huko then nami niridhike tu..?? damn it..!

Moyo wa kiume! Moyo wa Mandela!
 
Naomba Mungu anipe roho mbaya hata nisiwaze kusamehe, achilia mbali kuishi nae tena..!! Avuliwe chupi huko then nami niridhike tu..?? damn it..!

bora huyo kavuliwa mara moja na ukajua watu wanavuliwa 2×3/7 kisa tu hujajua ndo maana unatunisha misuli ya ubabeeee pole muembe tu mungu asikukutanishe na mke wa hivyo.
halafu mnavyo ng'ang'nia hupendi mkeo avuliwe chupi unajuaje siku hiyo alikuwa amevaa
 
Una uhakika hmgani kuwa kavuliwa mara moja? Mtu akishaamua kuleta hawara kwa kitanda chenu huyo ni malaya na kakubuhu.

Nasema tena, situnishi misuli...bahati nzuri huwa simfatilii hata siku moja, amekuwa mtu mzima na ajua afanyalo, nikijua kuwa sio mwaminifu NITAMUACHA...kubali au kataa ni juu yako..!
 
haya nimekubalii ila nawe uache kugegenda wawenzio
 
Nikushangae kwa uzoba au nikupongeze kwa ujasiri..,je sababu yakuchapiwa ipo kwako(yaan kama wewe ndio chanzo) basi nikupongeze ila kama wewe siyo chanzo basi nikushangae kwa uzoba...maana wataendelea
 
haya nimekubalii ila nawe uache kugegenda wawenzio

Nashukuru Mungu sina tabia hiyo, nazidi kuomba nipate ujasiri wa kushinda vishawishi.
..kwani wewe kuna wakati huvai chupi...? Teeeh!
 
Nashukuru Mungu sina tabia hiyo, nazidi kuomba nipate ujasiri wa kushinda vishawishi.
..kwani wewe kuna wakati huvai chupi...? Teeeh!

kuna mmoja hapa jirani ilikuwa hivi
" alikuwa anakanda unga wa chapati siunajua mikono inavyochafuka, akamwambia mme wake mpennzi naonba univue chupi nikimbie nikakojeo mkojo umenibana sanaa nikitoka ndo ntanawa niendelee na kazi.
kidume kamvua mkewe fasta kumbe kaenda kupigwa cha faster na jirani. hapo utamlaumu mtu kamvua chupi mkeo
 
Wanaume mkigongewa wake zenu mbona mnakuwa wakali hivo, nyie mbona mnakula vya watu....
 
Una uhakika hmgani kuwa kavuliwa mara moja? Mtu akishaamua kuleta hawara kwa kitanda chenu huyo ni malaya na kakubuhu.

Nasema tena, situnishi misuli...bahati nzuri huwa simfatilii hata siku moja, amekuwa mtu mzima na ajua afanyalo, nikijua kuwa sio mwaminifu NITAMUACHA...kubali au kataa ni juu yako..!

Yani unamuwacha Kwa Herufi kubwaaa, jee wewe ukifanyaa?
 
kuna mmoja hapa jirani ilikuwa hivi
" alikuwa anakanda unga wa chapati siunajua mikono inavyochafuka, akamwambia mme wake mpennzi naonba univue chupi nikimbie nikakojeo mkojo umenibana sanaa nikitoka ndo ntanawa niendelee na kazi.
kidume kamvua mkewe fasta kumbe kaenda kupigwa cha faster na jirani. hapo utamlaumu mtu kamvua chupi mkeo
Hahahahaaaaaa..! Nimecheka mbayaaa
 
Back
Top Bottom