Bado Natafuta Kazi

Bado Natafuta Kazi

Polax

Senior Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
116
Reaction score
6
It's me Polax again i still looking for job please help please hata nauli ya kurudi nyumbani maana hapa i'm tried 0685816103 niko kigamboni
 
It's me polax again i still looking for job please help please hata nauli ya kurudi nyumbani maana hapa i'm tried 0685816103 niko kigamboni

Pole sana kijana ,, ndo hali halisi sa hivi , as long as upo tu unaweza chagua siku moja uka tembelea recruitment agencies ukawapa hali halisi wanaweza kuwa na cheap jobs hata za mda mfupi sana sana hizi za sales .. most of ppo utakaowakuta pale ni watanzania nahisi watakuelewa
 
Asante kaka mkubwa wangu nitajaribu hata kesho if God wishe
 
Jambo Tz kwetu ni mkoa wa rukwa
 
Last edited by a moderator:
Tembelea recruitment agency zinazodeal na customer care Tigo, vodacom Airtel wahusika ni ison BPO zamani iliitwa spanco erolink kila mwezi wanaajiri.
 
It's me polax again i still looking for job please help please hata nauli ya kurudi nyumbani maana hapa i'm tried 0685816103 niko kigamboni

Wewe ni mhitimu wa chuo kikuu?
 
Hapana na elim 2 ya kawaida natafuta job tu za kawaida
 
Hapana na elim 2 ya kawaida natafuta job tu za kawaida

yani hata kujieleza hujui! sasa elimu ya kawaida ndio ipi?

weka cv yako hewani utafutiwe kazi!

makampuni kibao ya security services yapo mjini... tumia nguvu zako kama elimu huna!
 
Hapana na elim 2 ya kawaida natafuta job tu za kawaida

Nikupe ushauri ndugu yangu, unapoomba msaada jaribu kuwa mwazi ili wasamaria wema waweze kukusaidia, ukiwa mwoga na ukaficha uhalisi na vigezo ulivyonavyo hutaeleweka, jaribu kuweka profile yako utasaidika.
 
Hakuna anayekujua kua free acha uswahil watu wakusaidie sema elimu yako na coz ulisoma sio elimu ya kawaida non sense
 
Ndugu zangu hamjambo wote mie hapa hata ukinipa kazi ngum nafanya tu kani tatizo ni nini kuhusu elim yangu nimeishi.a form 2 baada ya wazee wangu kutoweka kama kweli mna nia ya kunipa work poa nipeni hata yeyote kani hapa sina ndugu wala nani am jobless
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom