Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,480
Klabu ya ******* sana.. nilishaachana nao tangu zamani sana.Nikiri wazi mimi ni shabiki wa Yanga kindakindaki kutoka moyoni. Lakini kwa hiki kilichofanyika imekua chukizo kwangu na kwa wengine wengi kama mimi. Najua wengine watabeza ila tayari nime unfollow kuanzia page ya Instagram mpaka viongozi wote wa Yanga.
Katika wakati kama huu hawakupaswa kutugawa hivi. Nakiri wazi nitabaki kuwa shabiki wa mpira kwa kuangalizia mabanda umiza tu, hata jezi sinunui mmetukera sana viongozi.
Shame Shame Shame.
Kiukweli ni fedhehaKlabu ya ******* sana.. nilishaachana nao tangu zamani sana.
Ndugu mimi ni shabiki wa mpira. Ulianza mpira ndio ikaja Yanga. Matatizo yako ya akili usiyahusishe na ushabiki wanguUtarudi tuu, ukiwa shabiki wa simba na Yanga ni lazima uwe na matatizo ya akili.
Nasema hv, lazima utawafatilia hao yanga, utake usitake.Ndugu mimi ni shabiki wa mpira. Ulianza mpira ndio ikaja Yanga. Matatizo yako ya akili usiyahusishe na ushabiki wangu
Hii ndio inakuaje? Unawekaje akiba hasiraKuwa na akiba ya hasira mdau...
Ni vizuri akajitokeza hadharani na kuondoa hii sintofahamu. Hata mimi Yanga damdam pamoja na kumiliki kadi ya ccm, bado sijafurahishwa hata kidogo na hiki kitendo chake cha kujipendekeza kwa Bibi wa Kizimkazi, kupitia mgongo wa klabu ya Yanga anayo iongoza.Injinia alichemka sana kuleta uchawa wake kwa mgongo wa Yanga mpaka kupelekea kuvunja Muongozo wa FIFA
Hii ndio inakuaje? Unawekaje akiba hasiraKuwa na akiba ya hasira mdau...
😃😃😃unakunywa majiHii ndio inakuaje? Unawekaje akiba hasira