Bado nani sijamu UNFOLLOW Yanga?

Bado nani sijamu UNFOLLOW Yanga?

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
15,929
Reaction score
27,173
Nikiri wazi mimi ni shabiki wa Yanga kindakindaki kutoka moyoni. Lakini kwa hiki kilichofanyika imekua chukizo kwangu na kwa wengine wengi kama mimi. Najua wengine watabeza ila tayari nime unfollow kuanzia page ya Instagram mpaka viongozi wote wa Yanga.

Katika wakati kama huu hawakupaswa kutugawa hivi. Nakiri wazi nitabaki kuwa shabiki wa mpira kwa kuangalizia mabanda umiza tu, hata jezi sinunui mmetukera sana viongozi.
Shame Shame Shame.
 
Klabu ya kisenge sana.. nilishaachana nao tangu zamani sana.
 
Injinia alichemka sana kuleta uchawa wake kwa mgongo wa Yanga mpaka kupelekea kuvunja Muongozo wa FIFA
Ni vizuri akajitokeza hadharani na kuondoa hii sintofahamu. Hata mimi Yanga damdam pamoja na kumiliki kadi ya ccm, bado sijafurahishwa hata kidogo na hiki kitendo chake cha kujipendekeza kwa Bibi wa Kizimkazi, kupitia mgongo wa klabu ya Yanga anayo iongoza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom