Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #81
kama anataka msaada c akaombe kanisan ama msikitini?
beibe nasty angalia haya maneno yanatunzwa kwenye kumbukumbu,usije siku ukaumbuka,ukabaki mdomo wazi,chezeya mapenzi sasa.
Q
Sorry! My fellow, nimemix marumba! Nilidhani huyu aombae kibarua ndiyo yule as known Mtakatifu Black Cat !
Kumbe ni "Time is now! "
hapo sasa i had bare new song !
Nevertheless due my vision mbona to your side naona kama a vacancy available ? Au ni macho yangu tu ndiyo hayaoni ?
Charm jamani,
Kiduchu tu,
afu umpotezee!!
Mbona unakuwa hujui kula na kipofu mwaego?
Naona charm kaanza kulegea mwenyewe leta ile picha watu waone
wakati ndio sasa lazima achukue kifaa!
Heehehhe aende NGO au ustawi wa jamii. Chonde chonde jaman naomba nisieleweke
hujambo mamito?
hujambo mamito?
cjambo mpnz,hbr za mapumziko. . .
sikumoja ujifanye umesahau basi uje uniambie mimi maneno kama haya,angalau niongeze siku za kuishi
kweli kuna wanaume vinganganizi mpaka cl atabadili msimamo lol...ngoja niangalie
kweli kuna wanaume vinganganizi mpaka cl atabadili msimamo lol...ngoja niangalie
nijikute tu naanza. . . never on my dead body!
We wakati_ndo_sasa,mnamrubuni my Strong Team Dr...huyo anaweza kuchoma sindano tu,mambo ya mahaba hayawezi huyo...