Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
Punguza hasira basi mi mgonjwa ujue ni majeruhi wa penzi hata mgonjwa humuhurumii,nisaidie basi kumwambia Eversmilin Gal kuwa naumwa,yaani hapa nilipo hata kusimama siwezi juu yake.....
"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport" haya we endelea kusubiri kama itakuja. . .
Punguza hasila mama si unajua hasila hasala.....
Utajaribu kutibua bahari eeeh we endelea
Usiharibu kijiwe hapa oooho usiku mmoja anakufariji nan alaaah we endelea kuugua
yan kuna wanaume ving'ang'anizi kweli humu duniani. mbna huelewi. may b ye ndo mwenyekiti wa wanaume ving'ang'anizi duniani!
jamani mie msimamo wangu upo palepale mbona hanielewi? SITAKIII
hapo kwenye red ungeweka hivyo,dah ingekua poa,mmmmmmwaaa....jamani mie msimamo wangu upo palepale mbona hanielewi? Mi ni SITAKI NATAKA,vumilia tu utapata
Naomba umsaidie huyu kijana!
haijalishi! aje babu aje bibi. thidanganyiki ng'o. . .
Na maneno haya nayo niyarizevu fo fyucha yuzi..??
beibe nasty shostito me kiukweli cjampenda hata ukucha cjui nifanyeje. cna feelings nae hata punje ya haradali. . .
Pole mwaya utapona tu wala ucjali ila sio siri kila nikikutana na hiyo username yako naogopa ,inanitishaje
kaka usibakize kitu,we rizevu kila kila kitu
Mi ni meze mate kwa paka halafu judgement wangu anenda wapi? Weweeee chezeiya pengne bt sio mim na my lotion judgementmbona unakataa kama vile unataka na unameza mate?
Duh haya mambo mazito...jama anapga sound kwa Dr wa timu ya jf tena ile first eleven...
dr dr dr upo
Naomba umsaidie huyu kijana!
Bas achape lapa tuu sasa ansubiri nin
Mi ni meze mate kwa paka halafu judgement wangu anenda wapi? Weweeee chezeiya pengne bt sio mim na my lotion judgement