Bado miezi Nane waende jela

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Bado miezi Nane ya utawala wa ccm, na wezi wa Mali ya umma kwenda jela baada ya serikali ya ccm kuwa pango la kulinda na kuwaficha wezi Hawa
Muda uliobaki japo ni mkubwa Ila kwao ni kama sekunde, mjitahidi sana kuvumilia maana siku si nyingi wanaolia watacheka na wachekao kwao itakuwa msiba mkuu
 
Hahahahahaaaaaa! Nani awape nchi wahuni na wanywa gongo? Kila siku mnatukana viongozi wa vyombo vya dola
 
Kuna jamaa mmoja asingekuwa upinzani ningewapigia.Nilihama rasmi upinzani pale alupoitetea mitambo chakavu kununuliwa na serikali. Leo atapinga akivuta mshiko ata support. Jamaa nilisoma nae chuo akionfea unamkubali akishakupa mgongo anafanya opposite. Sasa hivi anawachanganya chadema na ccm. Yeye ni mtu wa rushwa kwa sababu anavuta huku na huku, hata ukimpa cash akaseme la kwako, akipewa cash ndefu zaidi anaku geuka. Ndo maana ninaona ni bora kutompa kura mtu ndumirakuwili kwa sababu ni muongo kabla hujampa nchi sasa ukimkabidhi si atakuchinja akipewa rushwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom