Kwahiyo Ukienda sayari nyingine ambazo hazina hizo oxygenUzito umepungua kwa sababu ili combustion itokee lazima kuwe na Oxygen na fuel, so sehemu ya gogo inapotea kwa njia ya gas, ndio maana pale inatoka Carbon dioxyde.
Kumbe ndo maana hewa imekuwa nzito siku hizi ehh... Kuna uzito kibao wa magogo hewani.. [emoji23]Shukrani sana kwa maelezo mujarab mkuu, kama ni hivyo basi uchomaji wa misitu, magogo utakua na athari sana kwenye mazingira iwapo uzito wote huo unapotea kwenye atmosphere.
Samahani mkuu naomba tujadili kuhusu haya.Ukichoma gogo kuna chemical change inatokea gogo likiwaka kuna elements zinakuwa reformed kama Carbon dioxide,Water , gases na mabaki ambayo ni hayo majivu(left overs). Sasa unaweza ona ni vitu vingapi vinakuwa vinatoka kwenye gogo hilo la kilo 5 na hapo wakati linawaka linatoa light pamoja na heat energy vitu vyote hivi vinatoka kwenye gogo hilo hilo la kg tano kwa hiyo majivu ni sehemu tu ya mabaki katika vitu vyote vanavyotoka kwenye gogo...Na kama moto ukiwa mkali mno hata majivu hayatabaki kwa hiyo hata hayo majivu unayoyaona ni ishara tu ya moto wako haukuwa mkali sana.
Ata kwa dawa moto hauwaki bila ya oxygen.Kwahiyo Ukienda sayari nyingine ambazo hazina hizo oxygen
Moto hauwezi kuwaka?
angalau nimeanza kupata mwangazaKwenye gogo kuna vitu vingi.
1. Kuna kitu kinaitwa lignin.
2. Kunakitu kinaitwa fiber.
1&2 ndo hufanya gogo kuwa kama unavoliona yaani gumu.
Kwenye lignin kuna vitu vingi kama organic matter na inorganic matter. Pia kwenye fiber vivo hivo. Sasa unapochoma gogo kinacho ungua ni organic matter. Na majivu ni inorganic matter. Organic matter nyingi ni combustable. Yaani zikikutana na oxygen under certain condition zinaungua na kutoa carbondioxide + mosture. Na kupungua uzito hutokana na carbondioxide inayotoka kama gas. Ambayo mwisho wa siku huishia kwenye atmosphere. Kwa kifupi hitwa (loss on ignition) Hiyo kwa ufupi
HII YA MAJIVU KUTEKETEA NDO NAANZA KUISKIA KWAKO ASEEUkichoma gogo kuna chemical change inatokea gogo likiwaka kuna elements zinakuwa reformed kama Carbon dioxide,Water , gases na mabaki ambayo ni hayo majivu(left overs). Sasa unaweza ona ni vitu vingapi vinakuwa vinatoka kwenye gogo hilo la kilo 5 na hapo wakati linawaka linatoa light pamoja na heat energy vitu vyote hivi vinatoka kwenye gogo hilo hilo la kg tano kwa hiyo majivu ni sehemu tu ya mabaki katika vitu vyote vanavyotoka kwenye gogo...Na kama moto ukiwa mkali mno hata majivu hayatabaki kwa hiyo hata hayo majivu unayoyaona ni ishara tu ya moto wako haukuwa mkali sana.

Habari zenu wakuu,
Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa na nimeona bora niilete hapa hii mada ili angalau tupate ufumbuzi.
Mada yenyewe ni hii;
Kwa mfano ukilichoma gogo la mti lenye uzito wa kilo tano, kwanini majivu yake yasiwe na kilo zile zile tano? Matokeo yake unakuta majivu yanauzito mchache kuliko kitu kilichochomwa (teketezwa)?
Je, zile kilo nyingine huwa zinakwenda wapi?.
Shukrani sana kwa maelezo mujarab mkuu, kama ni hivyo basi uchomaji wa misitu, magogo utakua na athari sana kwenye mazingira iwapo uzito wote huo unapotea kwenye atmosphere.