Badili mtazamo wako kuhusu BMW

BMW nunua mpya Ila sio used kwani hata ulaya , USA wata wakimaliza warranty tu wanaziuza. Katika Germany car brands BMW ni kimeo ikija kwenye reliability, complications pamoja na ughali wa vipuri . Stay away from BMW kwa usalama wa wallet yako na moyo wako pia.
 
Eeh yamekua haya
 
Eeh yamekua haya
Mcheki hoovies garage,car ninja pamoja na Scott Kilmer YouTube. Car ninja ni BMW specialist mechanic huko marekani, Scott pia ni fundi mkongwe wa magari kwa zaidi ya miaka 40 huko US,hoovies garage ni collector wa exotic cars ila amekua akilizwa sana na BMW. Wote huwa wanasema kwa video zao BMW is a money pit car whether mpya au used . Buy at your own wallet risk
 
So unawaambia wadau waendelee kununua IST?
 
Mcheki hoovies garage,car ninja pamoja na Scott Kilmer YouTube. Car ninja ni BMW specialist mechanic huko marekani, Scott pia ni fundi mkongwe wa magari kwa zaidi ya miaka 40 huko US,hoovies garage ni collector wa exotic cars ila amekua akilizwa sana na BMW. Wote huwa wanasema kwa video zao BMW is a money pit car whether mpya au used . Buy at your own wallet risk
Lets try to be serious mdau..ni watanzania wangapi wana uwezo wa kununua brand new cars...achana na BMW hata hizi Vits tuu...
Nijuavyo mimi gari ni matunzo
 
Mcheki hoovies garage,car ninja pamoja na Scott Kilmer YouTube. Car ninja ni BMW specialist mechanic huko marekani, Scott pia ni fundi mkongwe wa magari kwa zaidi ya miaka 40 huko US,hoovies garage ni collector wa exotic cars ila amekua akilizwa sana na BMW. Wote huwa wanasema kwa video zao BMW is a money pit car whether mpya au used . Buy at your own wallet risk

Haya mdio mawazo yaki masikini kabisa, hata ukimiliki toyota IST usipo itunza vizuri will also be money pit car! Kwa wale wapenda magari, love to drive. Bimmer is the best car to own na utafurahi ukiwa barabarani. Issue ni kuwa na ustaarabu na kulitunza. It's got alot of sensors, kama usipokuwa makini nalo serious will destroy your wallet.
 
Anxiety weighs down the heart, but a kind word cheers it up.
Proverbs 12:25 NIV

Sio mawazo ya kimasikini chief BMW ni money pit period.Unaweza kubisha hapa lakini huo ndio ukweli, German luxury cars ni nzuri zikiwa mpya under warranty tu.
 
Back
Top Bottom