Akili ya BMW kwenye Magari

KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
627
2,025
Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!

Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!

Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!

Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!

Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!
 
Badili mtazamo wako kuhusu BMW
 
Mashine ya akili nyingi sana. Engine kubwa, nguvu kibao, fuel consumption ndogo
Sure thing
giphy.gif
 
Mkuu unafaa sana kuwa mkurugenzi wa kiwanda cha Taifa cha kutengeneza magari.

Lakini ndoto hii inakera kwa sababu ni ndoto tu
 
3l i-6 ina fuel consumption nzuri kuliko watu wanavyotegemea.

Except Porsche hakuna mjerumani mwenye the best overall handling kuliko BMW.
 
Jaman kila gari ina test yake gari nyingi za ulaya zina test ya kipekee

Kuhusu service sio kweli unakula pesa nyingi kama mdau hapo juu alivyosema bei ni ya kawaida Sana kulingana na dhamani ya model ya hiyo BMW
Kwa upande wa mafundi na vipuli Kwa sasa hivi vipi kila Kona ya miji mikuu

Uzuri wa BMW
Hazina magonjwa kama ukiwa inaipa service Kwa wakati na kufunga vipuli og
Speed iko poa sana kulinganana na model ya hiyo bmw
Inakupa muonekano wa kitofauti inapopita barabarana

Changamoto za BMW
Upingufu wa mafundi
Mafundi kuongeza bei ya vipuli Kwa kuamini mmiliki wa BMW ni tajiri
Inaumeme mwingi kiasi kwamba usipokuwa makini kila siku ni mtu wa mchrissmass
 
Back
Top Bottom