Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,648
- 167,553
Magari ya Bei Chee haya, sema Watanzania wengi tumelishwa matango pori, tumeyasadiki na tumeyafanya kuwa ndio dini yetu, eti gari Kama sio Toyota basi ni ndoa ya Kikristo