Badili mtazamo wako kuhusu BMW

"Gari nyingi za kijapan hazina body ngumu tofauti kabisa na huyu mnyama BMW... Yani hata unapokaa kwenye seat unahisi kabisa umekaa kwenye mashine ya ukweli... Na ni aghalabu kukuta BMW imepinduka kichwa chini mijuu guu"

ulikua na mana gani ?
 
Ukweli ni kwamba sisi ni masikini. Huwezi kununua gari harafu unaongelea spea au mafuta. Gari nzuri ni lle yenye ziro kilomita, Shida hatuna uwezo ndo maana tunakimbilia second hand . Ambazo ki msingi ni gari iliyotumika Kwa hiyo lazima ukubaliane na changamoto zake hasa gari za ulaya
 
Mimi sikuieleea kabisa x6. Kibiongo chake sikukielewa kabisa.

Nilikuwa na option ya X5 na X6 nikaenda na X5.

Bora hata X7 kuliko X6.

But X7 is a big beast for a big family.
This is what some high school student drives to school. She wants to be like you when she grows up 😀. So she’s started off with an X1 and she’ll steadily move up to an X5 🤣.

IMG_5825.jpeg
 
Natamani BMW owners Tanzania wangefungua uzi hapa waongelee changamoto wanazopitia. Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie engine ya BMW 5 series hapa Johannesburg,ametumia gari kwa miezi 6 tu.
Ukishazoea kuendesha magari ya kijep na bila kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu magari ya kila aina lazima magari kama BMW yakutese sana.. Nina watu wengi sana nimekutana nao wameua magari yao ama kutokana na ufahamu mdogo ama kutumia mafundi wasio wajuzi
BMW zote nilizotumia zilikuwa na changamoto za kawaida kama gari nyingine zozote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom