Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Nina tecno p3 asee ni shida imegoma kabisa kuwa rooted, means zote zinagoma. App zote zimegoma sijui niitupe ile simu
Nina tecno p3 asee ni shida imegoma kabisa kuwa rooted, means zote zinagoma. App zote zimegoma sijui niitupe ile simu
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima
2.kubadili rangi ya notification bar
3.kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka
Na vingine vingi kiurahisi tuu.
SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.
NOTE:KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIM YAKO HIVO
1.Download kingroot app kwenye google
2.install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari
3.sim inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahio usiwe na hofu haujaalibu kifaa chako
4.kama haikuzima zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari
Hii pad mini yenye kitkat inatumia chipset tofauti na padmini yenye jelly bean. Hivyo nimejaribu kuweka rom ya kitkat inagoma inaleta error CHIPSET not supported. Ukienda hovatek nao wanasema bado wanaidevelop hii custom rommkuu nataka kuweka custom ROM kwenye tecno P9 pad mini. sijui nitapataje hiyo KITKAT ROM . Kuna baadhi ya p9 zimetoka na KITKAT ila hii yangu ilitoka na jelly bean. Msaada plz
unaweza mm natumiaBlackberry 10 os inaweza ikawekwa google play store?
Kingo Android Root, the best One Click Root Tool/APK for free.weka link ya app ya king root
Itakuwa clone(copy)
Ukiselect WCDMA kwenye eneo ambalo hakuna access ya 3G lazima line moja itakata mawasiliano kabisa mpaka uwepo tena eneo ilipo 3G.Nimekujibu kiuzoefu na si kitaalamu!Captain hebu nisaidie, simu yangu samsung note II GT 7100 iko slow mno kwenye Internet, yani kufungua page ni kwa kubahatisha kabisa, nini inaweza kuwa tatizo, pia niki select WCDMA only kwenye network inakata kabisa net.
Unaweza nishauri cha kufanya tafadhali?
Inawezekana ila simu kama sio samsung inabidi u root simu then i dawnload app ifont nk...mm natumia Huawei 520 nataka kubadili mwandiko Kama ule wa samsang ambao unaset mwangdko wowote unaoweza kutumia.je inawezekana,MSAADA tafadhali
Zama google itafute hiyo s6 edge bootanimation.zip ukiipata i dawnload kisha rudi hapa.Nimesharoot samsung galaxy s4 na kuiweka custom rom ambayo ni ya s6 edge. Sasa nataka booting animation iwe kama ya s6 edge.
Kwenye simu yako kuna es file manager au Root browser?Tayar mkuu