Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

mkuu kubadili boot animation .ya android .ili kuweka logo unayotaka.tayari cmu iko rooted

Download aplication ya root browser
1.fungua root browser app na nenda kafungue
mafail yafuatayo
2.system
3.media
Ukisha fungua naomba niambie umeona mafail
yameandikwa nini sababu sim nyingi
zimetofautiana katika hii atua
 
Attachments

  • 1432238634792.jpg
    1432238634792.jpg
    14.4 KB · Views: 388
Download aplication ya root browser
1.fungua root browser app na nenda kafungue
mafail yafuatayo
2.system
3.media
Ukisha fungua naomba niambie umeona mafail
yameandikwa nini sababu sim nyingi
zimetofautiana katika hii atua

Mimi mkuu imeandika audio,video na images pia bootanimation,boot audio na shutanimation
 
unabadili vipi notification bar ?

kubadi notification bar kuna njia mbili tatumie hii
download app inayoitwa exposed framework
install na ifungue u download feature yoyote unayotaka mfano unaweza kuweka sim yako iwe inaonesha 4G icon na mtu a sema sim yako ina kamata 4G uki download unapo install sim razima iji reboot
 
Mkuu captein katika kubadilisha icon wakati simu inawaka nimefuata maelekezo yako ,Simu yangu imeonyesha
1.audio
2.video
3images
- boot animation
- boot audio
-shutanimation
Nifanyeje baada ya hapo ??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu captein katika kubadilisha icon wakati simu inawaka nimefuata maelekezo yako ,Simu yangu imeonyesha
1.audio
2.video
3images
- boot animation
- boot audio
-shutanimation
Nifanyeje baada ya hapo ??
Nenda kwenye play store ka download boot animation ya sim yoyote inakua katika zip file mfano andika sony experia boot animation na iweke kwenye memory
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwenye play store ka download boot animation ya sim yoyote inakua katika zip file mfano andika sony experia boot animation na iweke kwenye memory

Na pia download shutanimation nayo iweke kwenye memory
 
Ntaipataje mana nlitaka nibadilishe animation na sound ya mlio saa ya kuzima na kuwasha s.4 kwa sababu kuna mlio ambao umekuja na sim siuoend sana mi nataka ule ordinal wa samsung s.4
 
Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now
 
Ntaipataje mana nlitaka nibadilishe animation na sound ya mlio saa ya kuzima na kuwasha s.4 kwa sababu kuna mlio ambao umekuja na sim siuoend sana mi nataka ule ordinal wa samsung s.4

Kubadilisha mlio ni rahisi sana we download samsung s4 boot ringtune na iweke kwenye memory alaf fungua root browser na itafute hio ringtune na ui copy uka paste kwenye
System/media/boot ringtune
Fungua ringtune ambayo huitaki iguse kwa mda mrefu alaf chagua permission angalia tiki zilivokaa .gusa kwa muda mrefu ringtune mpya chagua permission weka tiki kama ringtune ya mwanzo alafu nakili jina la ringtune unayotaka kuifuta pembeni alafu ui fute andika hilo jina kwenye ringtune mpya bila kukosea alafu bonyeza save zima sim alaf washa
 
Back
Top Bottom