Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Hizo zote tayari kaka
Tumia framaroot
Hizo zote tayari kaka
Mimi natumia huawei y300 nitafanyaje kubadili font??
Mbna ku root siwez??[/QUOTE
Fuatilia kwa ukaribu,maelekezo ya namna ya kuroot kitumia kingroot ni rahisi.then jaribu.
kiufupi ku root sim yani ni kuruhusu simu uwe na uwezo wa kutumia kila kitu kama kufuta application za sim ambazo hazifutikagi kama huzitumii
Captain hebu nisaidie, simu yangu samsung note II GT 7100 iko slow mno kwenye Internet, yani kufungua page ni kwa kubahatisha kabisa, nini inaweza kuwa tatizo, pia niki select WCDMA only kwenye network inakata kabisa net.
Unaweza nishauri cha kufanya tafadhali?
Nashukuru kwa ushauri lakini nimeshajaribu mitandao miwili tofauti yote ni vilevile, airtel na tigo, simu yangu nyingine perfomance ni super kwa line hizohizoMkuu ilishanitokea hii shida,simu model hiyohiyo, badilisha line,Mimi nlikua natumia Airtel nikaweka tigo tatizo likaisha.Hamia mtandao ambao upo vizuri eneo ulipo.
Nashukuru kwa ushauri lakini nimeshajaribu mitandao miwili tofauti yote ni vilevile, airtel na tigo, simu yangu nyingine perfomance ni super kwa line hizohizo
Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now
voda wcdma inakubal bila matatizo sema chaj inatumika sanaNashukuru kwa ushauri lakini nimeshajaribu mitandao miwili tofauti yote ni vilevile, airtel na tigo, simu yangu nyingine perfomance ni super kwa line hizohizo
download app ya link2sd na itumie kufuta app ya
1.google play services
2.play store
download upya version tofauti za hizo app na install zote ukimaliza fungua link2sd na ziguse kwa muda mrefu alafu chagua convert to system app .ukimaliza bonya upande wa kushoto juu katika link2sd bonya reboot alafu ikiwaka sim jaribu kutumia