Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now

System files huruhusiwi kugusa kama hujui unachofanya
 
Tatizo kuipata hyo samsung boot ringtone ndo kaz nimejaribu kusach mpk basi
 
Kama unataka kubadili ringtune na nembo ya sim angalia picha hiz
 
Attachments

  • 1432289112822.jpg
    1432289112822.jpg
    43.2 KB · Views: 370
  • 1432289149542.jpg
    1432289149542.jpg
    35.7 KB · Views: 339
  • 1432289188970.jpg
    1432289188970.jpg
    48.5 KB · Views: 320
Captaen cm yangu ni Vodafone 785 android,ina memory card ya 8gb,ila kwasasa ina space ya 3gb,cha ajabu nilitaka kudownload app moja ya Leo privacy lock kwaajili ya usalama wa cm yangu,lkn inaniambia insuffienc space,tatzo ni nini mkuu
 
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima
2.kubadili rangi ya notification bar
3.kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka
Na vingine vingi kiurahisi tuu.

SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.

NOTE:KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIM YAKO HIVO
1.Download kingroot app kwenye google
2.install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari
3.sim inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahio usiwe na hofu haujaalibu kifaa chako
4.kama haikuzima zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari

mkuu nimefanikiwa hili hapa well for introducing this
11295609_389318467919597_3661009755255305276_n.jpg
 
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima
2.kubadili rangi ya notification bar
3.kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka
Na vingine vingi kiurahisi tuu.

SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.

NOTE:KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIM YAKO HIVO
1.Download kingroot app kwenye google
2.install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari
3.sim inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahio usiwe na hofu haujaalibu kifaa chako
4.kama haikuzima zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari

Nataka kuInstall,CWM recovery kwenye tecno p9. Nimetumia apps nyingi zimeshindwa
 
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima
2.kubadili rangi ya notification bar
3.kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka
Na vingine vingi kiurahisi tuu.

SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.

NOTE:KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIM YAKO HIVO
1.Download kingroot app kwenye google
2.install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari
3.sim inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahio usiwe na hofu haujaalibu kifaa chako
4.kama haikuzima zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari

Mkuu samsung galaxy grand 2 nimejaribu kuroot kwa kila njia imeshindikana. Tatizo litakuwa nini asee?
 
niajer.. samahani jamani tatizo langu mimi ni instagram yangu... siwezi ku upload pboto.... naifungua insta vizuri naweka picha fresh kamakuna editing nataka kufanya nafanya fresh, sema nikiweka next ili picha ifike ile hatua ya mwisho ambayo ndo tunaandika caption then tunaupload....ina crush then inarudi main page.... almost mwezi sasa tatizo ni hilo hilo, nimejaribu ku_unstall then kudownload upya lakini bado tatizo ni hilo hilo... please... kama una ezoefu na hilo tusaidiane jamani.. asante
 
Captaen cm yangu ni Vodafone 785 android,ina memory card ya 8gb,ila kwasasa ina space ya 3gb,cha ajabu nilitaka kudownload app moja ya Leo privacy lock kwaajili ya usalama wa cm yangu,lkn inaniambia insuffienc space,tatzo ni nini mkuu

Wengi hua wanashindwa kutofautisha storage katika simu huwa kuna
Internal storage.
Hii hutumika kuhifadhi app katika sim
RAM
HII hushugulika na speed ya sim katika process mbalimbali

Kwahio baadhi ya sim huwa hata ukiseti app ziwe zinaingia kwenye memory huingia kwenye phone sd card sio ulioweka wewe
Pili kudownload app kwenye play store kwanza play store huangalia space iliopo kwenye internal na ram na ikiona imebaki asilimia ndogo hugoma kwa kusema insufficient space
Tatu
Hata sim yako uweke memory ya 64gb na ukaseti app ziingie kwenye memory hauwezi ukajaza app mpaka utosheke sababu kuna storage ambayo hutumika ku run app hivyo hujaa mapema na huwezi kuongeza app hapo sababu storage ambayo hu run app huwa ndani ya sim huwezi ukachomeka
CONCLUSION
app hugoma sababu internal memory inayohifadhi au ku run memory huwa imezidiwa
 
niajer.. samahani jamani tatizo langu mimi ni instagram yangu... siwezi ku upload pboto.... naifungua insta vizuri naweka picha fresh kamakuna editing nataka kufanya nafanya fresh, sema nikiweka next ili picha ifike ile hatua ya mwisho ambayo ndo tunaandika caption then tunaupload....ina crush then inarudi main page.... almost mwezi sasa tatizo ni hilo hilo, nimejaribu ku_unstall then kudownload upya lakini bado tatizo ni hilo hilo... please... kama una ezoefu na hilo tusaidiane jamani.. asante

Hebu make sure una free space kwenye internal storage. Delete apps ambazo hazina umuhimu. Restart phone yako,Pia jaribu ku upload picha ambayo huja edit.
 
Hebu nipeni faida na hasara ya kuroot cm kabla sijafana hivyo. Nawasilisha
 
Nenda kwenye play store ka download boot animation ya sim yoyote inakua katika zip file mfano andika sony experia boot animation na iweke kwenye memory

mbna kila boot animation nnayosearch kule playstore haitokei znakuja apps tofaut kama boot box na vingne
 
Mi nimejaribu lakin nikija kwenye file system/media ckuti zip file ndo nnapoishia
 
Hapo ndo nnapoishia baada ya kudownload bootanimation ambayo nimeipenda mdau hebu nijuze
 
Attachments

  • 1432360540446.jpg
    1432360540446.jpg
    69.4 KB · Views: 280
Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now

Ninatamani ungekutana na khalfan56 angekusaidia mkuu...bado ipo na unaitaka????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom