Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

Root browse kaka
1.Kama una root browser ifungue kisha nenda storage had kwenye file ulipoweka hiyo bootanimation.zip waweza i capy au ukai move.
2.Wakati wa kuipaste katika zile folder fungua system tafuta file la media ipaste ndani ya hilo folder
3. Angalia permishen ya bootanomation iliyokwenye simu hapa uangalie mpangilia wa tiki zilivyo kaa
aedc9ff5cfcf78dfe5da4ef7df9bd147.jpg

Kisha rudi kwenye hii uliyo ipaste na yenyewe iwekee tik kama ulivyo ziona kwenye ile ya kwenye simu.
4. Kisha ila ya kwenye simu irename kwa kuondoa .zip ili simu ishindwe kuisoma halafu ile uliyo i paste i rename jina lifanane na ile uliyo ikuta kwenye simu, kila kitu kikiwa sawa basi reboot simu yako. Please soma vzr maelekezo kabla hujafanya hilo zoezi.
 
Mkuu #Hans Pol naona hivyo. Sasa je boot animation ya simu ambayo inatakiwa ni irename ni ipi hapo
8214fad0688bb3c9521bfbcc81362c81.jpg
5e0eb3d3481f68ed99a74dd1ec7a4df9.jpg
b07e77c8a86502aec816c6c731a921bb.jpg
1b63bde1fb203d25fc072b328cf06e8f.jpg
 
Kiongozi na mm hapo nimekuwa mgeni coz inaonesha mfumo upo tofauti ma nilivyo kuelekeza mimi.
 
niajer.. samahani jamani tatizo langu mimi ni instagram yangu... siwezi ku upload pboto.... naifungua insta vizuri naweka picha fresh kamakuna editing nataka kufanya nafanya fresh, sema nikiweka next ili picha ifike ile hatua ya mwisho ambayo ndo tunaandika caption then tunaupload....ina crush then inarudi main page.... almost mwezi sasa tatizo ni hilo hilo, nimejaribu ku_unstall then kudownload upya lakini bado tatizo ni hilo hilo... please... kama una ezoefu na hilo tusaidiane jamani.. asante
Nenda settings - apps - app info zen clear data
 
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima
2.kubadili rangi ya notification bar
3.kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka
Na vingine vingi kiurahisi tuu.

SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.

NOTE:KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIM YAKO HIVO
1.Download kingroot app kwenye google
2.install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari
3.sim inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahio usiwe na hofu haujaalibu kifaa chako
4.kama haikuzima zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari

Vipi uki-root data zote na downloaded apps kama whatsapp, insta, fb etc zinakuwa deleted au vipi?
 
Kuweka custom rom sio rahis sabab ukikosea kidogo una haribu sim yako na pili mi sio mzoefu sana sabab nimewahi kuweka sim moja tuu na baada ya hapo ilikua inasumbua ku detect network signal

Hivi custom rom ni nini kwenye simu?
 
Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now
Mkuu niuzie Mimi hiyo phne, haijafa imezilai tu hiyo me mwenyewe ishantokea hiyo ila nkapambana mpka Leo IPO hewani.
 
Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now
Nitafte nitaiponesha
 
Kubadili Mtazamo peke yake haitoshi, kua na fikra chanya peke yake hitoshi pia, kua na ndoto kubwa malengo makubwa haitoshi pia, kuna kitu cha muhimu cha kubadili pia ili hivyo vyoote hapo juu viweze kufanya kazi vizuri soma hapa kujua ni kitu gani hicho - - - - > MoJa Group: Marafiki.
 
Mimi niliwahi kuroot Huawei y300 kwa kutumia vROOT lakini siku moja katika harakati za kubadilisha font ikanipa option ya ku reboot. Haikuwaka tena mpaka leo ni mfu. From that day nimeheshimu sana system files na sitaroot simu yangu tena milele, bora nitumie default customisation setting.. Nimepeleka kwa mafundi hadi nairobi but wote walishindwa, ilidisplay logo ya huawei tu, ikagomea hapo.. Its one of my spares now
Mkuu iCode vp niuzie mi nina shida na touch kama vp nipigie 0716863406
 
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima
2.kubadili rangi ya notification bar
3.kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka
Na vingine vingi kiurahisi tuu.

SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.

NOTE:KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIM YAKO HIVO
1.Download kingroot app kwenye google
2.install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari
3.sim inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahio usiwe na hofu haujaalibu kifaa chako
4.kama haikuzima zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari
Mimi nataka kubadili notification bar nimeshairoot
 
Kuweka custom rom sio rahis sabab ukikosea kidogo una haribu sim yako na pili mi sio mzoefu sana sabab nimewahi kuweka sim moja tuu na baada ya hapo ilikua inasumbua ku detect network signal
hehehe ati ujanja wote huu umeshnwa kubadili radio baada ya kuflash custom rom je ukiambuwa ubadilishe kernel na uoverclock
 
Back
Top Bottom