Bad news

Naskia jamaa alushaipangia bajeti ikitoka tu [emoji117]CHATO[emoji23][emoji23][emoji23]
 
FAKE NEWS!!
Editing yako mbaya sana Bbc haiandikwi hivi aidha BBC au bbc...angalieni mkikamatwa oooh serikali mbaya
Nilishaikanusha na kuitolea ufafanuzi mimi mwenyewe
 
Vile vyeti mkurupukaji uchwara alivyovitoa eti kwa kazi nzuri sasa awaambie wavirudishe Ikulu haraka sana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo October, 23 ametuku vyeti Maalum vya shukrani kwa kamati maalumu za uchuguzi na majadilino kati ya Serikali na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrik Gold Corporation ambayo yalifanikiwa.

 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Reactions: BAK
Habari ndiyo Mkuu alikurupuka kama kawaida yake eti majadiliano yalifanikiwa!!!

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kutoka trioni mia nne na kitu hadi bilioni 700, na zenyewe tunakataliwa. Na hapo Tundu Lisu amelala kitandani kutokana na kuishauri serikali kuhusu utaratibu iliokuwa inautumia ktk kushughulikia hii issue. Inasikitisha sana! Kuna watu hii nchi wanajiona ni Mungu watu hawasemwi wala hawashauriwi. Deni la Taifa linazidi kupaa, na hata ahadi uchwara walizotuahidi hazitekelezeki. Umebaki ubabe na udikiteta usio na maana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…