Bad news

Swadaqta.
Wenye akili wameelewa maana japo source sio

Ila mkuu umeeleweka ukali wote uko wapi
Nashkur kutukumbsha maana linasahaulika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuneshatulizwa
 
Mleta mada ni muuza sura na mtafuta kiki
 
Wanaume wenye viashiria vya utamaduni wa kupakwa mafuta utawajua tu, unamshangaa kidume mwenzako kutafuta chumba cha 120,000 , hahahaha naishi raha mustarehe huku nilipo kwa bei hiyo
bado unapaswa kuelimishwa.. Kwasasa kipaumbele chako ni kupanga chumba, na wala sio nyumba.. Yani ni dalili za kuanza maisha, kuna tofauti Kuwa kati yetu kuanzia umri mpaka uelewa... Hata lugha yako inakufunua uhalisia wako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…