Bad habits

Lol,kama nakuona....!😛hoto: Raha jipe mwenyewe bwana,mijamaa hii frustration tupu...lol
Hahahaha.. . . Ukichangia na mood ya kuimba leo ngoja niwakomeshe majirani. Lolzz
 
Mi mzima mkwe. . .
Hahahaha mkwe embu nivumilie bana. . . Jan imekua Feb ila itafika tu.

Hiyo ya kukumbishwa hhhm . . . Ngoja niishie kuguna tu.lolz

haya mkwe mie subiri kwa hamu .....ngoja nisichakachue
 
DA hizo namba 3 hizo. . . .
Yakwako inabidi uifanyie kazi kidogo aisee. Kuomba samahani muhimu sana.

Let me explain......

Nimejifikiria nahisi nina ya "Uvivu" mana hiyo 3 ya juu yaani huwa mpaka nachukia kabisa nadhani ni uvivu.

Hiyo 3 ya chini hata ukimuomba msamaha atakusimanga mpaka ujute so nikalia kimya hata kama nimekosa najifanya sijakosa ili akose cha kusema ukiomba tu msamaha umempa bichwa kuanza kurap
 
Lizzy too much. You need a compromise. Waweza kuwa kwenye jopo la kutunga katiba. I like it when you are just your true self. But this is way beyond human capabilites. You need an Angle.
 
Sijijui nikoje, honestly I am who I am.

Pamoja sana kwenye red highlights, na zaidi siku hizi nachukia sana mtu asiyenipa pesa ya kujikimu (chakula, mavazi, ugonjwa na hata mavazi).

Ambayo sijahighlight naweza compromise.
 
Hebu acha uchochezi na wewe nimetubu ha ha ha ha

Mzima lakini "Dearest" Source Michelle
 
Hahahaha.. . . Ukichangia na mood ya kuimba leo ngoja niwakomeshe majirani. Lolzz

Ukiona wamenuna wawekee ule wa Twanga Pepeta 'Jirani' Jirani Jirani yangu wee nimekukosea nini? Kila ninachokitaka jirani eeeh? mwenzangu wanikatalia....wataku-join hapo....lol
 
Hilo la kwako la "Uvivu" nafikiri na mie ninalo aisee maana 6x6 nasikiaga uvivu kupita maelezo.

Naendelea poa "Dearest" Source Michelle

Huko ndo kabisaa sinaga appetite....mvivu 100%....lol....ukiweka tena na mazingira nisiyoyapenda ndo kabisaaaaaa....lol
Dearest tujitahidi bwana,tusije laumiwa kuwa chanzo cha wenzi kutoka nje....manina zao,hata ujitutumueje wanatoka tu...be yourself....thats the best advice...lol
 
Sijijui nikoje, honestly I am who I am.

Pamoja sana kwenye red highlights, na zaidi siku hizi nachukia sana mtu asiyenipa pesa ya kujikimu (chakula, mavazi, ugonjwa na hata mavazi).

Ambayo sijahighlight naweza compromise.

Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hapo tu...ndo mwanzo wa furaha na ushirikiano wa kila kitu....lol
 
Sasa nimekusoma DA. .. Kama mtu haappreciate wewe kumwomba samahani na anatumia hicho kitendo kukusema basi unamwacha tu.
 
Lizzy too much. You need a compromise. Waweza kuwa kwenye jopo la kutunga katiba. I like it when you are just your true self. But this is way beyond human capabilites. You need an Angle.
Hahahahaha. . . I so NOT!!!
 
Mie kwa kweli hapa sitajitahidi kwamwe hata umpe t.i.go. bado atakwenda ya nini shida???

Mie namyimilia kwa mbali hata wiki mbili zinapita kha?/

Kulala wote 24/7 inachosha ati??
 
best nina maneno makali ila ya kwako zaidi.

Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hapo tu...ndo mwanzo wa furaha na ushirikiano wa kila kitu....lol

umeona eeeh
 
Sijijui nikoje, honestly I am who I am.

Pamoja sana kwenye red highlights, na zaidi siku hizi nachukia sana mtu asiyenipa pesa ya kujikimu (chakula, mavazi, ugonjwa na hata mavazi).

Ambayo sijahighlight naweza compromise.

AG pesa ya kujikimu hata kama wewe unapata zaidi yake?
 
Sasa nimekusoma DA. .. Kama mtu haappreciate wewe kumwomba samahani na anatumia hicho kitendo kukusema basi unamwacha tu.

Mie samahani huwa naomba lakini sio ya ndani.......................

Ha ha ha ha January inakwisha Lizzy...........................
 
Ukiona wamenuna wawekee ule wa Twanga Pepeta 'Jirani' Jirani Jirani yangu wee nimekukosea nini? Kila ninachokitaka jirani eeeh? mwenzangu wanikatalia....wataku-join hapo....lol
Hahahahha dearest unataka waniwekee taarab tuanze kupeana madongo ehhh? Alafu kesho asubuhi nakutana na kanga imeandikwa "una nyodo ehhh" na nyingine "utahama" kwenye karo la vyombo.
 
umeona eeeh

Nimeona, hata kama napata milioni yeye elfu ishirini,anipe hata elfu tano tu nitajisikia raha sana....lol

AG pesa ya kujikimu hata kama wewe unapata zaidi yake?
dearest,kuna watu tu wanafurahi kupewa hela na mpenzi wake au kulipiwa huduma fulani haijalishi analipwa zaidi,na kuna wanaume hata kama anajua unapata zaidi,anajisikia raha kukupa hela ya matumizi....its is sweet...mi love that very much,it means a lot!
 
Mie samahani huwa naomba lakini sio ya ndani.......................

Ha ha ha ha January inakwisha Lizzy...........................
Hahaha. . . DA hivi na wewe nilikukopa?lolz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…