Bad habits

Hahahaha. . . Kumbe babu UNAJITAMBUA ehhhh? Hongera. . Ila upunguze ubabe.
 
Hapo kwenye red
Shetwain tokaaaa, mwachie mtu huyuuu
Nakuamuru kimbia
Ewe pepo uliyetumwa na jirani yake, kimbia upesi

 
Tabia mbaya nilio nayo ni kupenda penda wanawake wazuri....(Yani hapo lazima mjuwe kupenda si ku sex)

Hakuna kitu nachukia if she doesn't trust me.
 
Tabia mbaya nilio nayo ni kupenda penda wanawake wazuri....(Yani hapo lazima mjuwe kupenda si ku sex)

Hakuna kitu nachukia if she doesn't trust me.

Unawa'penda penda' kwa malengo gani?
 

mimi nachukia pale mtu anapokosea, na ANAJUA anamakosa alafu ANAPOTEZEA,, na anaexpect kila kitu kiendelee kama kawaida..
Ya kwangu:
nitamchunia hasa, mpaka atakapojielewa na kuomba msamaha, then kila kitu kitaendelea kama kawaida
 
Mine:
1. Nawezakuwa na upendo wa hali ya juu kwa nimpendae ila nina ugonjwa wa kuchelewa kujibu message zake za simu au kutotimiza nilichompromiss.
2. sometimes siwasiliani nae kwa makusudi ili aendelee kunimiss na kuniwaza.
3. simwambii yeye ni mzuri ili asipeperuke :lol:
4. napenda mwanamke alipe bili kila tunapoenda lunch/dinner,,

Nnazochukia:
1. Nachukia mwanamke anayejikuta mzuri muda wote kumbe hana lolote,,
2. Nachukia mtu anayeombwa msamaha mwezi mzima na bado hasamehi.
3. Nachukia unafki hasa wa kulenga kugombanisha watu,,

 
mimi nachukia pale mtu anapokosea, na ANAJUA anamakosa alafu ANAPOTEZEA,, na anaexpect kila kitu kiendelee kama kawaida..
Ya kwangu:
nitamchunia hasa, mpaka atakapojielewa na kuomba msamaha, then kila kitu kitaendelea kama kawaida
Beby unachofanya wewe na usichopenda vinaendana sana. Usitegemee kwamba mwenzi wako ni 'mind reader' . . .kama kakuboa mweleze badala ya kununa tu wakati mwenzio hajui/haelewi nini haswa kinachokusumbua. Kwahiyo akijifanya kupotezea hakikisha anaelewa ni kwa kiasi gani alichofanya/alichosema kilivyokukera, maana ye anaweza akawa aanapotezea kwa kushibdwa kuelewa ni kwa kiasi gani amekosea.
 
I've lived through #10 its a pain in the neck indeed.. Halafu katika bad habit yako # 6 mbona haujaitolea explanations kama nyingine au ndio part and parcel of your personality?
 

Kwahiyo wewe ni Mr. 'I can't keep my promises'? Badilika aiseee. . .hamna kitu nachukia kama ahafi hewa. Kama huna uhakika na kitu ni bora usiahidi ili ukifanya au usipofanya kusiwe na matatizo.
Alafu usipomsifia mwenzio ataishia kusiwa na wenzio na bado akapeperuka kwa kuona kwamba hutambui alivyo. . .

Hahahahaha kwanini alipie yeye kila mara?
 
Lizzy mimi napenda kwa kutazama tu, kuna wanawake wengine wakipita mbele yako inabidi umsifie mungu.

Ohhh kama ni hivyo sio mbaya. . . ila inabidi ujifunze kuangalia kistaarabu sio unadrool mpaka unasahau umekaa na mpenzi wako.
 
I've lived through #10 its a pain in the neck indeed.. Halafu katika bad habit yako # 6 mbona haujaitolea explanations kama nyingine au ndio part and parcel of your personality?

Hahahaha wala na nimeshaEdit. Inakua hivyo pale mtu anaponisukuma/agiza kama mtoto kufanya mambo. Yani nachukia sana being ordered around. . . Kwahiyo mtu akiniagiza nakaidi.
 
  • Kuchukuliwa kama mtoto ama kua handled kama yai... kama vile nipo fragile....
  • Lack of Uwazi.... ana loads of things he wishes to express but just Can't! Labda tu kwa kuhofia kukuumiza.
AshaDii,

Mnapenda sana ukweli lakini hamuuwezi ku handle...wanaume wote leo waamua wafunguke waseme ukweli , mwengine unakuta ame do na mdogo wako wa kike aliyekuwa anakuja kuja hapo kwako, mwengine ka do na secretary, mwengine housegirl, Mwengine ana mtoto kamuacha huko masomoni alipotoka juzi juzi, mwengine bado ana mahusiano na ex wake ambaye uliamini waliishachana, Mwengine ana do na msichana wa jirani, mwengine amezaa na bar maid mtaa wa pili, mwengine ame do na mama yako mdogo ambaye anamwita mkwe , mwengine your best friend kabisa anakuja na hapo kwako mnakula wote unamuelezea mambo yako yote ...........

Mwisho utaanza kusema kwa nini ulinambia haya mambo? coz ukielezwa ukweli wewe kama mwanamke huna uvumilivu wa kusema usim confront huyo mhusika lazima utaanzisha valangati na hamna mwanaume anapenda drama!
 

baada ya kukusoma kwa muda tangu umekuja dada asha,nimethibitisha kile nilikiona kwenye post zako za mwanzo na kupata picha ya wewe ni mtu /mwanamke wa aina gani!naomba uniruhusu niseme unanivutia sana na namuonea wivu kaka angu(yani mwenzi wako)!
 
nachukia sana neno hili kutoka kwa wakaka wa dar "mchinaa!!!,mchinaa!!!!!!!,mchina
 
Hahahaha wala. . . inakua hivyo pale mtu anaponisukuma/agiza kama mtoto kufanya mambo. Yani nachukia sana being ordered around. . . Kwahiyo mtu akiniagiza nakaidi.

So being marshalled around is not your thing,this is natural and understandable. Mimi nikajua ndo wale hata useme:
-'my lady/love/baby can you please bring some water for me on your way from the kitchen?'
Jibu linakuwa:
-'Make use of them long hind limbs of yours'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…