Poa mwaya. . .
12 inahusu sana ehh?
Maana yake ni kwmba huyu mtu anakijua vizuri kabisa anacho kuuliza, ila tu anataka kukusikia wewe ukineana au tamka kwa kinywa chako. sasa ukimdanganya lazima akatae, hatakama ungekuwa ni weweWhich bad habits do you HAVE/HATE when it comes to relationships?
7. Nachukia mtu anapotaka maelezo ya kitu fulani alafu anayakataa akipewa, kwasababu sicho alichotaka kusikia.
- Mtu kujiona PERFECT na kuona hana Mapungufu kabisa ila mwenzie ndio Mwenye mapungufu.
- Kutomsoma mwenzio... Kushindwa elewa kua nipo wakati gani happy/sad/frustrated..
- Kuchukuliwa kama mtoto ama kua handled kama yai... kama vile nipo fragile....
- Lack of Uwazi.... ana loads of things he wishes to express but just Can't! Labda tu kwa kuhofia kukuumiza.
- Hayupo responsible... Not being a Man i could say...
Inaweza ikawa hivyo kweli au akawa analazimisha asikie anachotaka hata kama sio kweli. Hawa wa pili ndio nisiopenda, wa kwanza ana kila haki.Nimeipenda sana hii
Maana yake ni kwmba huyu mtu anakijua vizuri kabisa anacho kuuliza, ila tu anataka kukusikia wewe ukineana au tamka kwa kinywa chako. sasa ukimdanganya lazima akatae, hatakama ungekuwa ni wewe
Nani aliniandikia nini bibie?
Basi uifanyie kazi. . usiwe mchoyo sana wala usilazimishe sana.
Kimbia wifi kimbia. . . I'm trouble.lolzMy bad habit:
Napenda ku-agree to disagree bila ugomvi, kitu ambacho kinaweza kuonekana kama ni ujeuri. Kama unafanya kitu kinachonikera na nimekuambia a few times na hakuna dalili ya badiliko, naweza kuamua kukipotezea na nisipolalamika naonekana kama nimedharau
Napenda to take all the time in the world to make big decisions, mean while just acting normal and not talking about it. Kiasi kwamba nikija kusema nadhani we call it quits mwenzangu is taken by surprise manake alishasahau hata kama alikula ndizi maganda nikatupa mie(refer MwJ1, didn't u see this coming?!)
Hapo kwenye usawa hapooo! If it is ok when you do it, then it should be ok for me to do it manake wote tuna nyoyo zinadundadunda. Unaweza kusema napenda ligi kwa baadhi ya mambo
Hivyo ulivyotaja mostly nakubaliana navyo, sijui unaniambukiza? I should stay away from you, lol!
Mawasiliano na UELEWA ni muhimu sana kwakweli.Jinsi nijuavyo mie,uhusiano wowote unahitaji mawasiliano baina ya washiriki,ili uweze kuimarika.
Tatizo baadhi yetu tunafikiri kwamba wenzetu ni "mind reader" na kwamba wana uwezo wa kutambua kila tunalohitaji...
Hizo ni fikra zisizo sahihi na hazina manufaa katika mahusiano.
Tukumbuke bila mawasiliano hakuna maelelwano na bila maelewano hakuna uwazi,na pasipo uwazi,hakuna uhusiano....
Jinsi nijuavyo mie,uhusiano wowote unahitaji mawasiliano baina ya washiriki,ili uweze kuimarika.
Tatizo baadhi yetu tunafikiri kwamba wenzetu ni "mind reader" na kwamba wana uwezo wa kutambua kila tunalohitaji...
Hizo ni fikra zisizo sahihi na hazina manufaa katika mahusiano.
Tukumbuke bila mawasiliano hakuna maelelwano na bila maelewano hakuna uwazi,na pasipo uwazi,hakuna uhusiano....
Yale maurembo?
Jumamosi ntayafanyia kazi. . .ngoja nianze kuuliza rangi gani mwenyewe atapenda.
Hapo mwanzo maelewano ndio ishu.Dr, kuna wengine ndo basi unajitahidi na mawasiliano, ila mtaongea the same thing over and over again?! Manake kila siku hilo hilo, na at least angekuwa wazi mkajaribu ku-negotiate ama accomodating each other's interests, walaa! Anakubali haraka yaishe halafu kabla hujanyanyua mguu keshafanya exactly that!
Lizzy nimesahau moja; I hate a man who swears! Aisee, najiskia hadi aibu kujulikana kama tunahusiana!
Usinichoke mwenzio ndo kwanza umeanza kunifundisha. Basi UREMBO ntatafuta jumamosi, mafuta napaka kama dozi angalau mara mbili kwa siku.Ni urembo dada sio maurembo..!kabla ya kufika kwenye urembo uliishia kukipaka mafuta ya nazi,zoezi lililofuata ni kuzichora tarakimu 1 mpaka 10 kwa kiuno,ila nikakuasa kwamba 0 huwa inasumbua kidogo kuichora lakini jitahidi,ndo nikataka kujua ukifanikiwa kumaliza zote kumi?