Bad girls ARE SEXY!

Bad girls ARE SEXY!

Ooh, so mwenye haki ya kupata apendacho ni mwanaume tu? Ndio maana mnatutenda, mkishapata mlichovutiwa nacho basi.. ingawa ndio, mnakuwa na mapenzi ya dhati but tamaa ya kuwa kila sehemu unataka kuonja ndio ugonjwa wenu!
Dada Lizzy, kuna disadvtg gani nikimtongoza mwanaume niliye mridhia?
sio wanaume wote ujue lakini..kama mimi ukinitongoza sina noma tutaishi ghadi kufa na kuzikana
 
Hii thread imenifanya nimuone Lizzy kitofauti sana. Nilijuwa ni wale wa Feminist wanoko wanoko.
 
Wana jema hawa basi!!? Mtu unajipinda halafu tena Utaulizwa nani kakufundisha, umeona wapi? Ila kwa hili sina mashaka najua utasema nae na nakala ataikuta kabatini.

Hehehehe akileta habari gani msogeze kipande hii nimseme kama hajarudi kwako anakimbia. . lolz.
 
Ooh, so mwenye haki ya kupata apendacho ni mwanaume tu? Ndio maana mnatutenda, mkishapata mlichovutiwa nacho basi.. ingawa ndio, mnakuwa na mapenzi ya dhati but tamaa ya kuwa kila sehemu unataka kuonja ndio ugonjwa wenu!
Dada Lizzy, kuna disadvtg gani nikimtongoza mwanaume niliye mridhia?

Mim kwanza kabisa ondoa hiyo dhana ya wanaume wote ni wamoja!! Hiyo itakuzuia kuona hata yule mzuri akishajitokeza. Pili hamna namna ya kujua kwa uhakika mtu ana nia gani maana wengi hua wanaanza vizuri mpaka pale wanapokua wameridhika ndio unashangaa mambo sio mambo. Ila unachoweza kufanya ni kujaribu urafiki kabla ya mapenzi, binafsi hua naona ni rahisi sana rafiki kuwa muwazi kwako na wewe kwake kuliko mtu ambae umepania kumpata.

Kumtongoza. . .heheehhe inategemea na akili ya huyo mwanaume.Hapa ndio kumsoma mtu kama rafiki na kujua misimamo yake come in handy. Kuna ambao hawapelekeshwi na tamaa, kwahiyo ukimwambia kwamba umpenda/unamtaka atakujibu kuendana na hisia zake kwako. Kama nae anakupenda/taka atafurahi na atakuunga mkono (kuna mtu aliwahi kusema mahusiano ya aina hii yanalast muda mrefu). . .kama hana hisia na wewe basi atakwambia.
Alafu kuna wale kina "mwanamke akinifuata mwenyewe siwezi kumkatalia" . . huyu atakubali tu kwasababu ya tamaa za mwili na.kwasbabu umejileta mwenyewe. Muhimu ni wewe kujitahidi ukagundua huyo mtu yupo kwenye kundi lipi. Ukishagundua yuko kwenye kundi la akili zinazojitegemea na anapatika jikaze utoe dukuduku lako maana mwingine anaweza akawa nae ana hisia za kimapenzi na wewe ila anahofia kuharibu uhusiano wenu wa awali ikiwa hutopendezwa na ombi lake.
 
hahaha lizy asante kwa uzi huu.
lkn wanaenda practice waende taratibu sio hadi unamuacha mwenzio na maswali mmh mwenzangu vp leo mbona umechangamka iv, coz hajakuzoea kukuona ivyo atapigwa na butwaa siku nzima anawaza tu, mwishoe anawenza anza kukufikiria vibaya buree.
 
hahaha lizy asante kwa uzi huu.
lkn wanaenda practice waende taratibu sio hadi unamuacha mwenzio na maswali mmh mwenzangu vp leo mbona umechangamka iv, coz hajakuzoea kukuona ivyo atapigwa na butwaa siku nzima anawaza tu, mwishoe anawenza anza kukufikiria vibaya buree.

Kama alishazoea kila siku hadi atake yeye....hapo atashindwa kukusoma labda msichana ajitoe fahamu na wine
 
hahaha lizy asante kwa uzi huu.
lkn wanaenda practice waende taratibu sio hadi unamuacha mwenzio na maswali mmh mwenzangu vp leo mbona umechangamka iv, coz hajakuzoea kukuona ivyo atapigwa na butwaa siku nzima anawaza tu, mwishoe anawenza anza kukufikiria vibaya buree.
Hehehehe wa kukufikiria vibaya hata ukicheka tu wakati ye anataka/alitegemea unune atakufikiria vibaya. Unajiachia tu taratibu, ikimsumbua aulize apate majibu!!
 
nimeshaona mara kwa mara watu wakiuliza kama mwanamke anaweza akawa wa kwanza kumjulisha mwenzake kwamba anamhitaji kimwili, na ni namna gani anaweza kufanya hivyo.

Kwa mwanamke anaejiamini na kujua nini anataka kwa wakati gani inawezekana sana. Na njia za kumjulisha mhusika ziko kuu tatu (nnazofahamu mimi anyway).
1.maneno - dirty talk inahamasisha sana.
2.mazingira.
3.matendo.

1.maneno.
Baadhi ya wanaume (siwezi kusema wote) wanapenda mwanamke ambae heshima inaishia sebuleni na sio inaingizwa mpaka chumbani. Mkishavuka kile kizingiti, mkafunga mlango na kubaki nyie wawili tu you have to be able to whisper something dirty/nasty in your mans ear and turn in to a wild cat when you are at it.

Kwa wale waoga a.k.a 'good girls' dirty talk can help spice up your sex life, it's a good thing. Dirty talk does not make you a bad person, you'll still be a good girl outside your bedroom!!. . It's just something that makes you a bad girl to your man and much more desirable at times.

Kwahiyo maneno kama "nakutamani, nakutaka, natamani/nataka u(ni). . . . . . Au ni(ku). . . . . ." kwa text,e-mail ama kwa sauti nyororo na ya chini yanaweza yakamfanya mtu akarudi nyumbani mapema kuliko kawaida yake ama akaweka remote chini na kukupa wewe 'attention' badala ya tv ,gazeti au kitabu.

Na uzuri wa hii ni kwamba waweza kumwandaa mtu mapema kabisa, tangu hata asubuhi.

2. Mazingira.
Hii inahusu sana vitu vinavyoonekana, harufu pia kusikika.

Chumba/nyumba kuwa imepambwa kwa namna fulani (mishumaa, maua, rangi ya mashuka), music wa aina fulani au marashi vinaweza vikamjulisha mhusika 'what's going to happen' as soon as he walks through the door bila ya bibie kutoa neno. Mara moja moja, haswa zile siku mnazopata bahati ya kubaki wawili tu nyumbani badala ya kila mmoja kuwa busy na laptop/simu/tv yake na kuact kama vile hamna kitu mnachoweza kufanya kwa pamoja, bibie unaweza ukaufanya usiku uwe wa kukumbukwa.

. . Cook his favorate meal. . .
. . Clean up the place. . Pendezesha mazingira. Tandika mashuka masafi, mazuri na yenye kuvutia. Nyunyuzia marashi anayopenda sana iwe perfume ama udi.
. . Clean yourself up and dress the part.
Pendeza. . Mfanye afurahie kukuangali kwanzia juu mpaka chini.
Nukia vizuri atamani kusogea na kuwa karibu na wewe.

3. Matendo.
Hii nadhani ndio the sexiest of them all.

Kwanza imekaa kiuchokozi sana na inahusu kuwa mwanamke zaidi. Ulaini, utaratibu, udekaji na uongozi juu.

Unaweza ukaanza kwa kuvaa kichokozi. . Kwa miili yetu ya kiafrika isiyochukiza ndani ya kanga hata iwe mikubwa vipi khanga moja should be and 'is' the best alternative in my opinion. Chagua ile laini, jitupie, onyesha guu na upaja uliojaaliwa atakutaka mwenyewe. Kwa wale wenye miili inayoruhusu (you don't wanna wear anything you can't pull off. . So kama umejazia sana let be of the tight and too revealing stuff). . Put on a sexy lingerie and show it off.

Tumia macho yako. . Badala ya kumkata jicho mpaka aogope, legeza macho umvutie.
Sauti yako iwe laini ukiongea. .tumia sauti ya chini.
Kiujumla kaa kikaribishaji zaidi, tumia maringo yako ya kike, sauti ,maneno na muonekano wa kudeka.
Ukimgusa (utajua mwenyewe unamgusa wapi) usitumie nguvu. Kua mtaratibu na laini. . . Kama ni ukali utaurudia asubuhi.
Ukiona yuko puzzled au hana speed ile unayotaka wewe take him by the hand and guide him.

Mwanamke anaweza, hahitaji kuwezeshwa maana uanamke sio kilema.
natamani hata nikutafute we mwenyewe,beautiful
 
Thanx ma dear! Ila, nitamjuaje aliye mwaminifu na mwenye mapenzi ya kweli? Mi nayaheshimu sana mapenzi, sipendi kuhangaika. He was my 2nd x, naogopa na naona aibu kuwa na list kubwa ya men ktk maisha yangu ya mapenzi

Hawana alama hao....akili kumkichwa tu!! Ukiona channel haisomi unachukua break kwanza, while unasaka hela ya king'amuzi!! Lol
 
sitaki 'good girl ' chumbani kwangu aisee,tena SITAKI HASWA!!kuwa good girl huko sebuleni tena napo kama kuna wageni au watoto.hakuna watu na tuko wenyewe siku nzima,aisee itakubidi tu uwe A VEEEERY BAD GIRL as mi siwezi kuwa mtoto mzuri katika mazingira kama hayo!!
 
Saafi Liz.. uzuri wa m/ke ni pamoja na mawazo mazuri aliyonayo, wewe u miongoni mwao (amebahatika uliyenaye)...uzi huu unafanya jf kuwa darasa lisiloisha...
 
Saafi Liz.. uzuri wa m/ke ni pamoja na mawazo mazuri aliyonayo, wewe u miongoni mwao (amebahatika uliyenaye)...uzi huu unafanya jf kuwa darasa lisiloisha...

Thanks Moria. . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom