Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
MWANAMKE ANAWEZA, HAHITAJI KUWEZESHWA maana uanamke sio kilema.
Mie nimeona hapo tuuuuuuu!!
😛oa 😛oa
MWANAMKE ANAWEZA, HAHITAJI KUWEZESHWA maana uanamke sio kilema.
Learning kitu kipya kila siku! Nzuri kwa afya....but ntajaribu kuyaangalia haya mambo kama yana exist.
Hehehehe hii ni "Kwa hisani ya Lizzy" mwenyewe.
Kama yanaExist wapi tena kama sio kwako wewe mwenyewe?
Najitahidi somo. . . unadhani ntafaulu nikipewa mtihani?
Ohhh yeahh. . . kabisa kabisa.
Good question!genius at work.... teh teh teh lol
Lizzy Luu.. I love, Love what you just wrote.....absolutely brilliant ..
But..
Sex zote umezigonga chumbani tu ...
Hivi sehemu zingine hakufai au ?? na je lazima iwe usiku...?
Tatizo mkiambiwa kijifunza vitu vipya kila siku
mtu anaenda kujifungia library anasoma abbot na nelkon
ni mambo wadogo madogo sana
mfano, mie siku zingine
badala ya kumfuata kitandani natembelea miguu
naenda natembelea mikono
its very funny
maana vinavyoning'inia vyote vinabadili direction
basi raha tupu
yah unayaweza mama,mimi mzuri zaidi kwenye angle inayoanzia hapo ulipoishia wewe,si unajua kuna safari baada ya hapo ulipoishia?
Nilikua najaribu kupitia maelezo yako naona unaendelea vizuri tu.....pia aina ya nguo za ndani inahusu sana
Like the way Montell Jordan say "Let's get it on"Like "mommy is out of town, let's get busy, handsome!", lol
Kama yanaExist wapi tena kama sio kwako wewe mwenyewe?